Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

Siwezi tuma hapa sababu wewe ndo unayeitaka
Majibu ya wanawake yananifurahisha sana sina namba au sina simu
Nataka kukuoa
Wee wapi nimekuomba picha yako?? 🤣🤣🤣
Makubwa haya sasa!! Humu mtandaoni naanzaje kutoa contact zangu kwa mtu simjui na sina faida naye yoyote??
 
Ni kheri kuchota mafuta kwenye roli lililoanguka, kuliko kuwa na mwanamke kama wewe....
 
Ndoa uliikimbia mwenyewe at the firs date na chris kwa kujifanya una online lover!by now chris hana imani na wew tena japo anakupenda but ulimuumiza kwa tamaa zako za kutaka kuolewa ughaibuni!kazana kumpa utamu na mauno ya kutosha ili angalau apooze moyo otherwise you're a bitch to him until further notice!

Ndoa gani ndugu sijasema mambo ya ndoa kwanza kwa wakati huo tulikuwa still young for marrige hata sasa yeye bado namuona anakula ujana… mimi sizungumzii masuala ya ndoa kijana nazungumzia mahusiano hiyo ndoa bado sana
 
Km
Achq ngonjera siziso na maana..kama alikupenda kwa Nini hajakuoa?huyu alikuwa anasuuza rungu tu kama walivyo wanaume wengine

Kausha bobu humjui na hujui yaliyotokea usiweke comment ya kumchafua kijana wa watu na umfahamu ibaki kwenye code
 
Kinacho kusumbua hadi kurudi kwa Chris ni umalaya wako na kupenda vya bure, huna lolote singo maza mtatajiwa wewe... Hata huyo wa nje kakuacha kwasabab ya umalaya na kupenda pesa... Utakufa
 
Ndoa gani ndugu sijasema mambo ya ndoa kwanza kwa wakati huo tulikuwa still young for marrige hata sasa yeye bado namuona anakula ujana… mimi sizungumzii masuala ya ndoa kijana nazungumzia mahusiano hiyo ndoa bado sana
huon mwenzio anataka mtoto?pia inamaanisha anataka ndoa pia ni wew kujiongeza!kama kwako ndoa bado hata hayo mahusiano hayana maana zaid ya uzinzi na kuwa ombaomba!
 
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz wangu wa nnje ya nchi maana hatukuwai kuonana live ilikuwa ni mahusiano ya mtandaoni

Kwa kipindi hicho sikuwa na mahusiano yoyote zaidi ya huyo mwanaume wa nnje ya nchi…. Kama unavojua mwanamke na mwanaume wakikaa pamoja sumaku huvutana

Kwa kipindi hiko sikuwa nampenda yoyote kati yao maana sikuzingatia… ukaribu na chris tukajikuta nimempa tunda, hilo jambo nilijutia sana kwasababu sikuwa nikimpenda halafu jamaa sijui ndio akazama kwangu, akaanza kuwa msumbufu mpk kukeraa,, nikamdanganya nina ujauzito wake ili tu nile pesa ake kweli kaka akajitoa sana kwa harakaharaka ndani ya hiyo miezi 2 nilishatumia zaidi ya laki 9 ( alinitengenezea bima, account ya benk kila mwezi anaweka laki 2 hii ilikuwa kwaajili ya maandalizi ya kujifungua alisema niwe natunza nilipokea miezi2 tu)

Baada ya miezi 2 nikamwambia mimba imetoka jamaa alilaumu sana akisema nimetoa ila mimi nilikazana imetoka basi bhn nia ilikuwa ni kumuacha ili nibaki na mwanaume wangu wa siku zote maana alionesha malengo japo hatukuwai kuonana… nilifanikiwa kumuacha yule kaka( chris) japo alikuwa king’ang’anizi

Mpnz wangu wa nnje alirudi tukaonana na mipango ikaendelea na alikuwa akinipenda sana but kama mnavojua mipango si matumizi yule kaka sipo nae tena( siwezi kuelezea kilichotokea maana nitafungua code ila hatuna mahusiano kabisa kabisa) ila hatukuachana kwasababu za usaliti au uongo ni sababu za kimungu tu

Kwa sasa nimerudi kwa chris japo mguu pande kwasababu sijamuamini kiivo… kuna jambo alimwambia rafiki yake kwamba mimi alinifumania jambo ambalo sio kweli na nimeshangaa ni kwanini amemwambia rafiki ake hivyo kwamba alinipigia simu usiku akasikia sauti ya mwanaume anauliza naongea na nani( jamaani wananchi ilo jambo ametunga si kweli)

Sasa nimewaza huyu jamaa sio kwamba karudi kulipa kisasi kwangu nilivyomuacha
Mimi nilimuacha kwasababu ana akili za kitoto mfano akipiga simu upokee hapo hapo kama hupokei atapiga hata mara 20 mpk nikawa naogopa ukipikea sasa zinaanza lawama hii hali ya kulaumiwa kila siku nikaichoka yaani tuna miezi 2 ila kama miaka ndio ikapelekea nimuache

Kilichonirudisha kwake ni kwakuwa sina mtu ninaemuelewa kwa sasa then nimeona kama yeye ananipenda japo mimi still nasuasua

Ila sasa hivi amekuwa bahili hata vocha ni kusumbuana… anachosema mimi sieleweki kigeugeu ili aniamini anataka tuzae mtoto

Wakuu ushauri kuhusu huyu mtu nifanyaje
Hapo usijichangaye utazalisha utaachwa tulia utapata mtu sahihi yeye hakupenda tena
 
Amna bhn hivi kweli mtu analala na wanaume wote hao katika kutafuta mtu sahihi au unaongelea wale wa barabarani
Mbona hao wawili hujawaogopa kulala nao? 😂😂😂
Hapo bado hujatuambia wengine kabla ya hao
 
Back
Top Bottom