Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

Ukweli sijui nataka nini sijui kabisaa… ila uwezi amini nilituliaga sana na mwanaume wangu wa nnje ila ndio haikupangwa hivyo kwaiyo sasa nipo dilemma
Huyo jamaa ameshaona huna future, hujui purpose yako kwake, anachotaka ni uhakika kama upo au haupo. Sasa kama unaona hafai kuwa mume muache kwa mara ya pili ili apate uhakika kuwa haupo.
 
Haujatulia binti, unatamaa, hauna msimamo, haujui unacho kitaka, hauna malengo wala mipango kwenye maisha yako ya kimahusiano.
Haujui unataka nini zaidi ya ny€ge na upweke ndio vinakusumbua.
Wanawake kama wewe ama wenye tabia za kufanana na wewe hua wanakua na mwisho mbaya sana wa kimahusiano.
Alafu........
Mwanaume yeyote ulie muacha wewe then ukamrudia tena wewe, hapo jiandae kupigwa na tukio ambalo litauacha moyo wako na tobo kama sio shimo la jeraha.

Mabinti tunapitia mambo magumu sana sema hamuelewi mnatupa lawama… imagine umetulia na mtu unaamini atakuoa upo nae peke yake mara ghafla kabadilika

Ni vile tu sisi tunaolewa hatuoi so hatuwezi kupanga ndoa
 
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz wangu wa nnje ya nchi maana hatukuwai kuonana live ilikuwa ni mahusiano ya mtandaoni

Kwa kipindi hicho sikuwa na mahusiano yoyote zaidi ya huyo mwanaume wa nnje ya nchi…. Kama unavojua mwanamke na mwanaume wakikaa pamoja sumaku huvutana

Kwa kipindi hiko sikuwa nampenda yoyote kati yao maana sikuzingatia… ukaribu na chris tukajikuta nimempa tunda, hilo jambo nilijutia sana kwasababu sikuwa nikimpenda halafu jamaa sijui ndio akazama kwangu, akaanza kuwa msumbufu mpk kukeraa,, nikamdanganya nina ujauzito wake ili tu nile pesa ake kweli kaka akajitoa sana kwa harakaharaka ndani ya hiyo miezi 2 nilishatumia zaidi ya laki 9 ( alinitengenezea bima, account ya benk kila mwezi anaweka laki 2 hii ilikuwa kwaajili ya maandalizi ya kujifungua alisema niwe natunza nilipokea miezi2 tu)

Baada ya miezi 2 nikamwambia mimba imetoka jamaa alilaumu sana akisema nimetoa ila mimi nilikazana imetoka basi bhn nia ilikuwa ni kumuacha ili nibaki na mwanaume wangu wa siku zote maana alionesha malengo japo hatukuwai kuonana… nilifanikiwa kumuacha yule kaka( chris) japo alikuwa king’ang’anizi

Mpnz wangu wa nnje alirudi tukaonana na mipango ikaendelea na alikuwa akinipenda sana but kama mnavojua mipango si matumizi yule kaka sipo nae tena( siwezi kuelezea kilichotokea maana nitafungua code ila hatuna mahusiano kabisa kabisa) ila hatukuachana kwasababu za usaliti au uongo ni sababu za kimungu tu

Kwa sasa nimerudi kwa chris japo mguu pande kwasababu sijamuamini kiivo… kuna jambo alimwambia rafiki yake kwamba mimi alinifumania jambo ambalo sio kweli na nimeshangaa ni kwanini amemwambia rafiki ake hivyo kwamba alinipigia simu usiku akasikia sauti ya mwanaume anauliza naongea na nani( jamaani wananchi ilo jambo ametunga si kweli)

Sasa nimewaza huyu jamaa sio kwamba karudi kulipa kisasi kwangu nilivyomuacha
Mimi nilimuacha kwasababu ana akili za kitoto mfano akipiga simu upokee hapo hapo kama hupokei atapiga hata mara 20 mpk nikawa naogopa ukipikea sasa zinaanza lawama hii hali ya kulaumiwa kila siku nikaichoka yaani tuna miezi 2 ila kama miaka ndio ikapelekea nimuache

Kilichonirudisha kwake ni kwakuwa sina mtu ninaemuelewa kwa sasa then nimeona kama yeye ananipenda japo mimi still nasuasua

Ila sasa hivi amekuwa bahili hata vocha ni kusumbuana… anachosema mimi sieleweki kigeugeu ili aniamini anataka tuzae mtoto
emoji3064.png
emoji3064.png

Wakuu ushauri kuhusu huyu mtu nifanyaje

Jitahidi ujue unahitaji nini katika MAISHA yako kwanza.

Mfano unaweza kuwa hauna customer care nzuri kwa wateja Ila ukiajiriwa Kama customer care unahitaji Ku-pretend ili uendane na kazi yako.

Sasa ukija katika MAISHA yako yanayokuhusu wewe lazima yatawaliwe na uhalisia 100%

Mfano
Mahusiano yako
Mafanikio yako binafsi
Leo yako na kesho yako.

Ukikwama Katika kuyaelewa MAISHA yako itafika wakati utakwama Sana.

Kupenda kusaidiwa na wanaume na kula pesa zao, fahamu tu anayerudi nyuma ni wewe mwenyewe.

Tazama haya mambo tangu upewe pesa na wanaume umepata nini?
Je umefanikiwa katika nini?

Hivyo ukiona maisha hayabadiliki unabidi kuanza kutofautisha haya mambo katika mahusiano kati ya Value man and expensive man ,mwanume wa thamani na mwanaume wa gharama.

MTU ambaye anakupa kitu ila yeye mwenyewe anaumia na hana kitu fahamu huyo ni mwanaume wa gharama , na hawa ndo wengi hutoa pesa kwa masharti kuwa nakuhudumia ili unipe kitu.

Ila mwanaume wa thamani atahakikisha unajitambua, na kukuza katika maeneo yote muhimu ,kiakili, kihisia, kiuchumi, kiroho.

ushauri
Wekeza katika value man na utazame long run benefits with consistency.

Pesa, nyumba , kulipiwa bills haya yote mambo madogo Sana ukiona unampenda MTU kisa hivi vitu ujue bado haujafanikiwa kuwa na "sense of who you are ,( kujitambua. )

Kumbuka to be trusted is a greater compliment than to be loved.

Fanya MTU akuamini utapata vitu vingi kuliko MTU kukupenda. Na ili MTU akuamini muoneshe kuwa upo kwa ajili yake na umuongezee thamani.
 
Hueleweki mara ulimuacha kwa sababu una mpenzi mwingine mara ana akili za kitoto....

Usumbufu ni kawaida ukipendwa. Mtu akikupenda kubali usumbufu. Lazima awe msumbufu na wivu mwingi.
 
Nimeishia pale uliposema ulikuwa na mpenzi wako wa mtandaoni ambaye hamkuwahi kuonana. Foolish

Tulionana Halafu huwezi amini huyo ndio mwanaume ambae alinipenda kuliko wote yaani mno yule kaka Kama ingekuwa ni uwezo wangu ningemrudisha,,, mkuu inauma Sanaa mno hii hali inanifanya niwe mnyonge sana ila amini kwamba tulidumu 3 years na tulionana Sanaa
 
Hueleweki mara ulimuacha kwa sababu una mpenzi mwingine mara ana akili za kitoto....

Usumbufu ni kawaida ukipendwa. Mtu akikupenda kubali usumbufu. Lazima awe msumbufu na wivu mwingi.

Sijui labda kwa kuwa sikumpenda ndio maana niliona kero
 
Inaoneka ata wewe una utoto na hauna msimamo yan ujui nini unataka. Anza kujitambua kwanza
Pia angalia malengo yako na yake yapo sawa? Au mnaweza kusapotiana malengo wenu? Kama jibu n hapana bas achana nae
 
Jitahidi ujue unahitaji nini katika MAISHA yako kwanza.

Mfano unaweza kuwa hauna customer care nzuri kwa wateja Ila ukiajiwa Kama customer care uunahitaji Ku-pretend ili uendane na kazi yako.

Sasa ukija katika MAISHA yako yanayokuhusu wewe lazima yatawaliwe na uhalisia 100%

Mfano
Mahusiano yako
Mafanikio yako binafsi
Leo yako na kesho yako.

unakwama Katika kuyaelewa MAISHA yako itafika wakati utakwama Sana.

Kupenda kusaidiwa na wanaume na kula pesa zao, fahamu tu anayerudi nyuma ni wewe mwenyewe.

Tazama haya mambo tangu upewe pesa na wanaume umepata nini?
Je umefanikiwa katika nini?

Hivyo ukiona maisha hayabadiliki unabidi kuanza kutofautisha haya mambo katika mahusiano kati ya Value man and expensive man ,mwanume wa thamani na mwanaume wa gharama.

MTU ambaye anakupa kitu ila yeye mwenyewe anaumia na hana kitu fahamu huyo ni mwanaume wa gharama , na hawa ndo wengi hutoa pesa kwa masharti kuwa nakuhudumia ili unipe kitu.

Ila mwanaume wa thamani atahakikisha unajitambua, na kukuza katika maeneo yote muhimu ,kiakili, kihisia, kiuchumi, kiroho.

ushauri
Wekeza katika value man na utazame long run benefits with consistency.

Pesa, nyumba , kulipiwa bills haya yote mambo madogo Sana ukiona unampenda MTU kisa hivi vitu ujue bado haujafanikiwa kuwa na "sense of who you are ,( kujitambua. )

Kumbuka to be trusted is a greater compliment than to be loved.

Fanya MTU akuamini utapata vitu vingi kuliko MTU kukupenda. Na ili MTU akuamini muoneshe kuwa upo kwa ajili yake na umuongezee thamani.

Sawa nitafanyia kazi
 
Inaoneka ata wewe una utoto na hauna msimamo yan ujui nini unataka. Anza kujitambua kwanza
Pia angalia malengo yako na yake yapo sawa? Au mnaweza kusapotiana malengo wenu? Kama jibu n hapana bas achana nae

Sawa
 
Sawa nitafanyia kazi

Kuna Mwanamke mwenye mvuto na anayevutia.

Na mwanaume anapenda mwanamke mwenye mvuto je unaelewa hili?

Mwanaaume akija kwako unasoma
Njaa yake au unasoma heshima yake?

Jitahidi uwe na MVUTO ili umiliki magnetic power.

Kuhangaika angaika kwa wanawake ni kwasabau hawana magnetic power wanavutia Ila hawana mvuto.

Pia ukiona mwanaume na yeye anazunguka huku na kule kutafuta wanawake ujue hana magnetic power.

Ukiwa na MVUTO biashara ya mahusiano unakuwa umeshaimiliki kinachobaki nikupambania mambo mengine
 
Hivi ndoa ya serikali nikitaka kufunga inaweza kuwa ya siri yaani nijue mimi na mtu wangu bila mashahidi wenginee… maana kwa kazi yake kwasasa bado muda
Taratibu za kufunga ndoa ni zilezile,lazima itangazwe siku 21 na lazima kuwe na mashahidi labda utoe rushwa kwa mfungishaji ndoa.Ndoa zote zinafungwa ,kulindwa na kuvunjwa kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya 1971.
 
Back
Top Bottom