Now she is 3 and a half, patiently waiting aanze kuulizia daddy yuko wapi..
Daddy wakati hukutaka kuwa daddy?
Now she is 3 and a half, patiently waiting aanze kuulizia daddy yuko wapi..
mkuu it was a really a bad time, nilikua nimetoka kuzika mkuu my own dad, and i was mentally disturbed so haikuwa wakati muafaka, i tried to explain bila kueleweka what else could i do..i should forget if they ever existed nadhani itakua suluhisho..Daddy wakati hukutaka kuwa daddy?
Weka picha yako na mtoto tukupe majibu.
mkuu it was a really a bad time, nilikua nimetoka kuzika mkuu my own dad, and i was mentally disturbed so haikuwa wakati muafaka, i tried to explain bila kueleweka what else could i do..i should forget if they ever existed nadhani itakua suluhisho..
kweli unauliza sababu ya yeye kukukimbia? Kutokujibu meseji na kutopokea simu? Kwa nini usijiulize mwenyewe kwanza kwamba why ulikataa ujauzito wakati alipokwambia? Simply ni kwamba hukumuamini, why sasa?
Eti Ooh ilikuwa ni one night stand, aliyekwambia mimba inataka mamisaa, midakika au misiku nani?
Kwa kukufanyia hayo tu unaumia kiasi hicho, geuza upande wa shilingi ufikirie nae alijihisi/anajihisi vipi?
Umeona mtoto mzuri, ameshakuwa, amenawiri ndo unahisi kuwa ni wa kwako? kumbe hata uhakika huna?
Muache mwenzio aishi maisha yake, alishakusahau na alishaamua aendelee na ya kwake. Usianze kumletea nightmares zisizo na maana.
Kipindi tunakutana tulikua tukiishi mikoa tofauti, kufahamiana kukazua usiku mmoja mrefu, kila mmoja akarudi alikotoka, baada ya mwezi nikasikia toka kwake anadai yu mjamzito, kipindi hicho sikua tayari kwa hilo, nikamjibu kua sina uhakika kama mimi ni mhusika maana ilikua only a one night stand, akakasirika akanambia anaitoa, i never heard from her ever again, nimekuja angalia fb page naona yupo na katoto, kazuri kweli, macho pua na masikio ni mimi waungwana, a copy of me, siku zikapita nikahama nikawa naishi mkoa anaoishi yeye napita mahali namuona kabeba mwanae, ananiona anakimbia na mwanae , washa moto gari mbio,hapokei simu zangu wal ahajibu sms, sipafahamu kwao, kila nikionesha watu picha hizo wanadai ni mali yangu, nikihesabu umri wa mtoto kwenye picha na umri tukio lililotokea kuna uhusiano nikahusika, nifanye nini..
mkuu kila nikizitazama naona kama mimi mkuu, yaani pua, masikio na macho, kopi yangu mkuu, it happened kwa staili ambayo sina ukaribu na marafiki zake wala ndugu zake, ninayemfahamu ni yeye, kwao pia sipafahamu hakuwahi nielekeza..
Kukataa mtoto ni dhambi kubwa sana. Eniwei nakupa heshima kwa kulitambua hilo na kuamua kujirudi. Anachofanya huyo mwanamke na wanawake wa aina yake kuficha watoto kwa baba zao ni kosa kubwa pia kwa Mungu na mwana-adamu. Kila mtoto anastahili kumjua mama na baba yake. Wanawake dizaini hizo huwajaza watoto wao na chuki dhidi ya baba zao. Haistahili na ni kumtendea ubaya mtoto wako. Gangamaa na hakikisha unapata kumuona mwanao na kumpa matunzo yote kama baba. Ikiwezekana mchukue uishi naye ili apate upendo wa baba ambao ni muhimu sana kwa maisha ya mtoto. Huyo mwanamke msamehe tu ila kamwe usikubali akufarakanishe na mtoto wako.
mkuu kila nikizitazama naona kama mimi mkuu, yaani pua, masikio na macho, kopi yangu mkuu, it happened kwa staili ambayo sina ukaribu na marafiki zake wala ndugu zake, ninayemfahamu ni yeye, kwao pia sipafahamu hakuwahi nielekeza..
mkuu kila nikizitazama naona kama mimi mkuu, yaani pua, masikio na macho, kopi yangu mkuu, it happened kwa staili ambayo sina ukaribu na marafiki zake wala ndugu zake, ninayemfahamu ni yeye, kwao pia sipafahamu hakuwahi nielekeza..
Nashangaaga napoona mtu anasema ''mchukue tu mtoto kutoka kwa mama ukae nae''Yaani umeona mama aliyeangaika kulea mimba,kuzaa na kulea mtoto hastahili kukaa na mtoto bali baba aliyekataa mimba ndio perfect kukaa na mtoto?
Cha muhimu hapo aombe msamaha atoe matumizi ya mtoto na awe close na mtoto.kama mama anakubali mtoto kukaa na baba hapo sawa