Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,184
- 671
Dogo dogo mmoja wa darasa la kwanza alipanda daladala huku akiimba kwa sauti kubwa vitu alivyofundishwa school baba akiwa jogoo mama akiwa kuku mimi ntakua kifaranga,
baba akiwa beberu mama akiwa mbuzi mimi nitakua ndama dogo aliimba kwa muda mrefu mpaka kondakta akakasirika, akamwambia Ah weee! hebu nyamaza.. jee kama baba angekua ****** na mama malaya weee ungekua nani? dogo dogo akamjibu ningekua kondakta wa daladala