Mtoto amemwaga madini, noma.Mwalimu kamuuliza mtoto kati ya baba na mama nani shujaa.
Mtoto kajibu wote woga. Mwalimu, kwanini?
Mtoto akajibu :Baba akisafiri mama analala na mlinzi.
Mama akisafiri baba analala na dada (house girl).Wote wanaogopa kulala peke yao.