Huyu Mtoto amenitià hasara Leo najuta

Huyu Mtoto amenitià hasara Leo najuta

Kahama- shy

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,951
Reaction score
2,694
Habari za Leo jumapili ndugu zangu Natumaini nyote na mnaendelea na majukumu, Leo nikasema nifue nguo zangu hapa Nyumbani, Leo jumapili ila sabuni dukani huko Nina deni nifanyeje, hiyo Asubuhi Kuna watoto Huwa wanachunga mbuzi nikamuita mmoja nikamuangiza mara Moja chap sh 2000 alete sabuni ya unga na kipande,

‎Eeh si mara kaenda mazima subiri subiri na wewe wenzake Nyumba ni wapi nikaenda, namkuta na mother ake wamekaa ameniona ndukii kumbe alikuwa anagalia kila njia ntatokea wapi! namwambia yule mama ata hanielewi ananijibu "Baba nyie wenyewe mlielewana huko Mimi sikuwepo akija ntamuuliza"

‎Dah! imeniuma Nimejiinamia nawaza nimshikilie mbuzi mmoja ndo wanilipe, huyu mtoto nikimshika naweza kupata kesi niachane nae, na mother ake anielewi, roho inaniuma wakuu najuta natamani muda urudi nyuma nikanunue mwenyewe tu nimerudisha ndani!
Screenshot_20251012-114814.jpg


‎Nilikuwa nimeandika mpaka kikaratasi ili ata akipita mtoto mdogo nimuagize tu😢
 
Kiukweli vijana Wengi tunapitia financial crisis kinouma I can feel u bro Yaani ulivyo andika Kwa uchungu hio buku 2 ilivyo nyaaa kizembe bora hata ungebetia kanji ndio apite nayo
 
Unapotaka kumtuma dukani mtoto wa mtu, bhas hakikisha kwanza umeomba ruhusa kwa mzazi au mlezi wake. Na uwaambie unataka kumtuma wapi na ni kitu gani unamtuma... Tusichukulie mambo poa sanaaa
 
Unapotaka kumtuma dukani mtoto wa mtu, bhas hakikisha kwanza umeomba ruhusa kwa mzazi au mlezi wake. Na uwaambie unataka kumtuma wapi na ni kitu gani unamtuma... Tusichukulie mambo poa sanaaa
Unapomkuta mtoto wa mtu ameumia barabarani unatakiwa uombe ruhusa kwa wazazi wake kumsaidia? Huyo mtoto hajatumwa sigara wala pombe wala silaha.

Collectively tuwajibike kama jamii.
 
Sijui punyeto utapigia nini leo maana hamna soap
Hahahahaa.... Hao sio matajiri wa pesa, ni matajiri wa tasnia ya upiganyi wa pun-yeto. Hapo kichwani utakuta ana njia hata 77 za kujichua.. Bado hajafungua vitabu vyake sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom