Huyu Mtoto amenitià hasara Leo najuta

Huyu Mtoto amenitià hasara Leo najuta

Unapomkuta mtoto wa mtu ameumia barabarani unatakiwa uombe ruhusa kwa wazazi wake kumsaidia? Huyo mtoto hajatumwa sigara wala pombe wala silaha.

Collectively tuwajibike kama jamii.
Upo sahihi kabisa ila kwa Dunia ya leo haupo sahihi sana,
Dunia ilisha badilika,wema wako unaweza kukuponza,simaanishi kua watu wasiwe wema but be careful.
 
Habari za Leo jumapili ndugu zangu Natumaini nyote na mnaendelea na majukumu, Leo nikasema nifue nguo zangu hapa Nyumbani, Leo jumapili ila sabuni dukani huko Nina deni nifanyeje, hiyo Asubuhi Kuna watoto Huwa wanachunga mbuzi nikamuita mmoja nikamuangiza mara Moja chap sh 2000 alete sabuni ya unga na kipande,

‎Eeh si mara kaenda mazima subiri subiri na wewe wenzake Nyumba ni wapi nikaenda, namkuta na mother ake wamekaa ameniona ndukii kumbe alikuwa anagalia kila njia ntatokea wapi! namwambia yule mama ata hanielewi ananijibu "Baba nyie wenyewe mlielewana huko Mimi sikuwepo akija ntamuuliza"

‎Dah! imeniuma Nimejiinamia nawaza nimshikilie mbuzi mmoja ndo wanilipe, huyu mtoto nikimshika naweza kupata kesi niachane nae, na mother ake anielewi, roho inaniuma wakuu najuta natamani muda urudi nyuma nikanunue mwenyewe tu nimerudisha ndani! View attachment 3487452

‎Nilikuwa nimeandika mpaka kikaratasi ili ata akipita mtoto mdogo nimuagize tu😢
‎npm Namba nikurushie buku bee
 
Upo sahihi kabisa ila kwa Dunia ya leo haupo sahihi sana,
Dunia ilisha badilika,wema wako unaweza kukuponza,simaanishi kua watu wasiwe wema but be careful.
Upo sahihi.

Kuna video ili trend ticktock ni ya kenya, mtoto wa kike amevamiwa na siafu, akawa ana ruka ruka na kuvua nguo hovyo.

Shuhuda (kijana wa kiume) Akarecord akisema ingekuwa zamani ningeenda kumsaidia huyu mtoto, lakini kwa dunia ya sasa … Nope!
 
Na watu wanavyojichukulia sheria mkononi kwa upesi siku hizi,wala huyo kijana asingepewa nafasi ya kusikilizwa,

Bila shaka hata angeweza kuuawa kwa tuhuma za kutaka kubaka,na huku nyuma watu wangeshangaa na kusema kua hatuamini kama yule kijana angekua na tabia za hovyo kiasi hiki,yani wangeamini kua marehemu alikua ni mbakaji.
 
Kwanza si ungeenda kulipa deni tu kwa mangi kisha unamsomesha hapohapo tena.
We vp bana unapigwa hadi na watoto,fala sana
 
Unapomkuta mtoto wa mtu ameumia barabarani unatakiwa uombe ruhusa kwa wazazi wake kumsaidia? Huyo mtoto hajatumwa sigara wala pombe wala silaha.

Collectively tuwajibike kama jamii.

Dunia imebadilika sana Sasa hivi, unaweza kumtuma mtoto akakuletea vitu ndani kwako na hadithi ikabadilika ulikuwa umemfungia ndani siku nzima... Au akapata madhara alipokwenda na ulionekana nae bhas itakuwa wewe ndie uliepanga mpango atoke ili akadhurike..

Ni katka hali ya kuwa makini tu haswa kipindi hiki ambapo huo ubinadamu haupo genuine sanaaa...watu wapo ki fursa fursa zaidi.
 
Hahahahaa.... Hao sio matajiri wa pesa, ni matajiri wa tasnia ya upiganyi wa pun-yeto. Hapo kichwani utakuta ana njia hata 77 za kujichua.. Bado hajafungua vitabu vyake sasa.
Pengine atatumia ile njia ya kuubana mjegeje mapajani halafu anakuwa kama anapiga Kiki pikipiki inaitwa kupiga kiki
 
Unapomkuta mtoto wa mtu ameumia barabarani unatakiwa uombe ruhusa kwa wazazi wake kumsaidia? Huyo mtoto hajatumwa sigara wala pombe wala silaha.

Collectively tuwajibike kama jamii.
💯
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom