Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,903
- 28,045
Nanmkubali sana..Jamaa anajua sana...
Nanmkubali sana..Jamaa anajua sana...
Jamaa anajua kazi yake na anaweza sana kupendezesha kipindi.....!Mbona mshikaji yupo cool tu...anapenda anachofanya, that's all...
UNAKIPENDA KIPI SASA?Sikipend hicho kipindi
Wewee mambo ya shule kila mtu ana siri yake moyoni. Si tulikuwa tukitoka shule tunakwenda na mshikaji wetu kula misuba akawa anajifanya Rebel ile mbaya. Tumemaliza shule tu katusaliti kaenda CCP Moshi, siku hizi kawa mwera unaambiwa mnoko ile mbaya. Hoo!
haha
haha
haha
haha
haha
haha umenichekesha sana kijanaJamaaa anawapiga wamama na masister duu. Kinoma huyo muoneni ivyo, unajuaa wadaadda na wamama wanapendwa kusifiwahalafu uskute wadada na wanampenda kinoma,mchizi atakua anawafaidi sana anajichagulia tu sampuli za kila aina...