Jamii forum mmmh sasa hapa hata nashindwa nikuambie nn. Wewe mtu mmekubaliana mkutane hapo alafu unamkuta na mtu mwingine, labda alikuwa anakuonyesha hakutaki kiutu uzima, na ww unataka ushauri. Wakati mwingine tutalazimika tuwe tunauliza umri wa waomba ushauri.