Huyu msanii Nas B alipotelea wapi!?

Huyu msanii Nas B alipotelea wapi!?

Wazee...
Yani mwanaume uka m dm mwanaume mwenzio.... we maliza kila kitu hapa Mambo yaishe.
Mkuu nahisi utakuwa unatania tu, na sio kwamba umemaanisha.

Yani kwamba mwanaume hawezi kum dm mwanaume mwenzie? Au unahisi kwenda dm ni kwa ajili ya kuchat mapenzi tu?
 
Anyway.. ila huyu mwamba ajitahidi arudi kwenye game.
Alikuwa na Content nzuri sana, za kuelimisha.
Nilikuwa nikimfananisha na 50%
 
Hawa ndo wasanii wa Dijaro arungu

Nas B,
Endru G,
Chief maker
Best naso
Mataluma

Na wengine nimewasahau, Nas B anangoma nyingi kali,nimezisahau majina.

Kuna jamaa Endru G anangoma yake kafanya na Barnaba inaitwa scola ,ngoma kali sana,

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Nyimbo alizokuwa akizicheza Djiaro kwa media zingine kuziskia ni mbinde sana.

Alikuwa ancheza vinyimbo flani ivi vya ki local hatari.
Mbona alikuwa anapenda sana hizo Bongo flavour za kijijini
 
Hawa ndo wasanii wa Dijaro arungu

Nas B,
Endru G,
Chief maker
Best naso
Mataluma

Na wengine nimewasahau, Nas B anangoma nyingi kali,nimezisahau majina.

Kuna jamaa Endru G anangoma yake kafanya na Barnaba inaitwa scola ,ngoma kali sana,

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Una kitu
 
Back
Top Bottom