Kwa hiyo watu wakitukanwa wewe ndiyo umetekenywa
si uende nini kinakuzuia!!!!!
Nina ticket moja hapa ya bure, changamkia fursa ni PM sa ivi.
Halafu ingependeza zaidi ungeandika " kwa hiyo unayo haki ya kuzuia wengine kutoa mawazo yao " hayo mengine sijui AIR THEIR VIEWS waachie mwenyewe kina ngoswe .ni mtazamo tu usinitoe roho
lakin hakuongea kitu kibaya wala cha uongo
Vanessa Mdee alipotaka kuanguka na High heels zake,jamaa akamkandamiza eti hivo viatu vilitakiwa viwe na sticker ya Learner,mpoki ni mjinga sana hahahaaa
Walewale kina mpoki ndiyo nyie ..nani alikuambia mtu akitoka Ulaya ndiyo anaongea English .Nyie ndiyo wale anaongea KIZUNGU :der:mpoki alikuwa aawaweka watu sawa waache ushamba wao. hebu fikiria yule mdada hata jinale simjui kaingia na kiswanglishi chake paleeee ah! mpoki nae hakumlazia damu akampa zake... kumbe ni mparreee!!! wa kuleee... me nilidhania ni katoka ulaya kumbeee paree loh!! MPOKI NDIO DAWA YA MABISHOO. tena next time itabidi wamuite na JOTI waungane ndio itanoga sana.
Jamaa juzi siku ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards alikuwa kama vile anatania lakini vile vile alikuwa anaboa sana, hata kama ni msanii hapana alikuwa too much,
Alimwambia mama mmoja kuwa "Anafaa kwa matumizi ya binadamu"
Then akamwambia wema sepetu "Alinyangw'anywa penzi na akalirudisha"
Alipokuja RAY, kama vile Ray alianza kupatwa na wasi wasi sana asijue mpoki atasema nini juu yake, jamaa akamchana kuwa "Kuna maneno mtaani kuwa umeachana na Johari"....RAY alionekana kuogopa sana jamaa asiendelee kumchana.
Akaja Hashim Lundenga "Mpoki alimchana indirect, kuwa ni mtu aliyeweza kuvumbua vipaji vya wasichana....alitaka kutamka jambo hapa yule dada akamuwahi...
Alipokuja LULU Michael...hapa aliona aibu kidogo, hata mimi nilikuwa nasali sana asiropoke jambo lolote kuhusu Lulu....
Vanessa Mdee alipotaka kuanguka na High heels zake,jamaa akamkandamiza eti hivo viatu vilitakiwa viwe na sticker ya Learner,mpoki ni mjinga sana hahahaaa
Nasikia harufu ya chuki chuki hapa au yaweza kuwa joto hasira si bureKutukanwa au kuambiwa ukweli kuhusu yale wanayofanya ili kama ni mabaya wajirekebishe kama ni mazuri waongeze bidii. Hamataki kuambiwa ukweli, manataka kusisfiwa tu, hata pale mnapokuwa mmekosea, mimi ingawa sikuwepo ukumbini, lakini pamoja na picha za startv kuwa na rangi rangi, nilichelewa kulala lengo kubwa likiwa ni kumsikiliza Mpoki alivyokuwa anawachana mmoja baada ya mwingine, utavaaje viatu virefu bila kufanya mazoezi ya kutembea navyo ?
hahaaaaa kumbe alisema viwekewe sticker ya learner hahaaaahahaaaaaaaaaa
pozi la L kwenye high heels hahaaaaaaaaaaaaaaaa
Walewale kina mpoki ndiyo nyie ..nani alikuambia mtu akitoka Ulaya ndiyo anaongea English .Nyie ndiyo wale anaongea KIZUNGU :der:
Nasikia harufu ya chuki chuki hapa au yaweza kuwa joto hasira si bure
Ni kufanya sanaaHivi maana ya usanii ni nini?
Mkuu labda wewe ndio mwenye chuki chuki, miye anunga mkono ukweli ukweli uliokuwa unasemwa na Msanii Mpoki kwa wahusika. Kama alikuudhi, mbona hukuvunja tv set uliyokuwa unaangalia.
Hii mada tulishaimaliza kitambo kuwa Mpoki ni Janga katika sanaa.full stop
Tumezoea mambo ya
chobingo hata tukiambiwa ki-comedy comedy tuna-mind wakati yote hayo
yapo mtaani
vipi una passport nikukatie tiketi?mmmh! Natamani niende brazil.....