Huyu Mpoki vipi jamani?

Yaan Mpoki alinifurahisha balaa asingekuwepo nisingeangaliaa kabisa
Wawe wanamuwekaa tu yule dada alikua hata hatangaz vizuriiii
 
Naomba matokeo ya T. Stars na Angola?
 

Hata mi sishangai bali nashangaa jina lako. Kwahiyo mkiwa wawili mnaitwa makende au?
 
Tatizo wabongo hampendi kuambiwa ukweli
 
Alifanya alichoalikwa kufanya...full stop
 
Si wewe ndiye uliyesema mpoki alikukuna sana wakati anavulumisha mitusi kwa watu sasa nikusingizie nini dada yangu

kwani yale ni matusi jamani.........

kwani mtu akikwambia ulipokonya penzi na ukafanikiwa kurudisha anakuwa amekutukana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…