Huyu mlinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan ananivutia sana

Nipe connection mkuu, huyu mdada ndio mtu pekee ambaye amenifanya niwe nafuatilia ziara za mama, huwa ananikosha sana.

Tangu awe mlinzi wa mama chura yake imekuwa standard, ngozi imenawiri vyema ana sifa zote za kuwa mke wa pili
Fatilia ratiba ya bi mkubwa jpil ambayo hana tukio huyo mdada utampata hapo utamvizia wakienda lanch wana mgahawa wao wa waz
 
Kama kichwa cha habari kinavyodai, kwa yeyote ambaye anaweza niunganisha na huyu mwanamama anayemlinda Mh. Rais naomba aweze kunipa connection ni wapi nitampata amekuwa akinivutia sana jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kiusalama kwa Mama yetu.

Nipo tayari kumpa shamba langu la urithi la michungwa mtu yoyote ambaye ataweza nipatia mawasiliano yake, kama sio mawasiliano yake basi kunikutanisha nae tu inatosha kabisa.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

NB: Mlinzi ni huyo mdada aliyesimama upande wa kulia wa mama, na kama bado hajaolewa niko tayari kumfanya mke wa pili.

View attachment 1978940View attachment 1978958
Huyo dada ni state intelligence officer na ni mke wa mtu,mme wake ni mwanajeshi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kinavyodai, kwa yeyote ambaye anaweza niunganisha na huyu mwanamama anayemlinda Mh. Rais naomba aweze kunipa connection ni wapi nitampata amekuwa akinivutia sana jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kiusalama kwa Mama yetu.

Nipo tayari kumpa shamba langu la urithi la michungwa mtu yoyote ambaye ataweza nipatia mawasiliano yake, kama sio mawasiliano yake basi kunikutanisha nae tu inatosha kabisa.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

NB: Mlinzi ni huyo mdada aliyesimama upande wa kulia wa mama, na kama bado hajaolewa niko tayari kumfanya mke wa pili.

View attachment 1978940View attachment 1978958
Nakuonya tu kama mdogo wangu, is not fair kwa mtu mwenye familia, yani mume na watoto kumuanzishia topic kama hizi, huo ni ufala, grow up.

Muda mrefu sana umekuwa ukiwachokoza watu wa idara ila ujuwe huyu Maxence Melo atawalinda ipo siku atawatosa ndio utajuwa hujui.

Wajanja wote sasa hivi wanaitumia JF kwa tahadhari kubwa, tena atleast watu ambao wanaishi Marekani na ulaya ndio wako safe.

Usije kusema hukuonywa.
 
Acha kutisha watu, serikali ina mambo mengi ya kufanya kwa wananchi wake. Yaani serikali ipoteze rasmali muda kumfuatilia mtu mtandaoni.

Na hizi tuhuma zako za watu kufuatiliwa katika mtandao unaweza kuzithibisha kwa kutolea mfano 😅

Anyway pole sana kwa kifungo, ujifunze kuandika kwa ustaarabu wakati mwingine.
 
Back
Top Bottom