Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,143
Lazima usomeeHivi wanasomeaga nini kazi hizo?
Hivi wanasomeaga nini kazi hizo?
Ukijibu vizuri kuna shida gani? tushazoea kumuona anamlinda rais leo ukimuona kaongozana na ndugai lamza ushangae na kuulizaProcurement Officer tcra na kwa Job wapi na wapi?
JiongezezKwa mantiki hii atakua kashushwa cheo ama kapanda cheo?
kazi ni kazi tu! Tanzania ni moja
atleast nimeelewa sasa
shida kweli kweliHaa usinikumbushe jamani kuna jamaa alitamani rubani wa ndege akaishia kufuga kuku , akasema potelea mbali ndege ni ndege tu hamna shida
Labda kama kahamishwa sasa hivi ila hadi January alikuwa hapo tcraMbona nilisikia kawa DSO kwenye mojawapo ya wilaya za huko Kaskazini
Basi chanzo changu cha taarifa kilinipotoshaLabda kama kahamishwa sasa hivi ila hadi January alikuwa hapo tcra
Najua kama ni TISS, na hao watu wapo hadi waendesha bodaboda ajabu nini sasa kwa mimi kukubali?Na wew uankubalia tu kwa nini asiwe ni TISS
Kuna TISS humble? wanapretend tu ili wapate wanachokitakawajihi wake unaonyesha jamaa ni mtu so humble and innocent.
watu kama hawa wanafaa sana kuwa viongozi. nitafurahi siku moja nikisikia kateuliwa kushika nafasi fulani ktk ngazi ya mkoa au wilaya.
nina hakika ata fit vizuri na ataweza ku blend na jamii iliyomzunguka katika eneo lake la kazi.
mtazamo wangu tu.