tena kuna wengine wanaigiza utafkiri ana mguu ngama kumbe mmoja anaficha, na matusi juu anakupa!!
Hapa mtaani kuna mlemavu ana mguu m1 anatumia magongo, basi aliniomba pesa siku ya kwanza nikawa sina akapita siku nyingine akaniomba nikamwambia sina, mungu wangu, aliporomosha matusi balaa, alianza kwa kusema 'hivi ww unanionaje? leo ni mara ya pili nakuomba msaada unasema huna?...' Siku 1 nikamweleza jamaa yangu akaniambia yule alikuwa jambazi akapigwa akavunjwa mguu, eti watu kama hao mungu anawapunguza kasi ya kuwafanyia watu maovu kwa kuwapa kilema. Nikaamini kwa jinsi yule kilema alivyo na matusi, je angekuwa mzima si shida?
Hapana bwanaa, sio wote, wengine ni ajali kama za magari etc
Huku kwetu kuna mlemavu wa ngozi Albino anasumbua watu sana anakuomba hela ukimjibu huna anakuambia AU NIPIGE KELELE KUA UNATAKA KUCHUKUA VIOUNGO VYANGU VYA MWILI UKAUZE! lazima utoa hela!
Hizi imani nyingine ni shida.
huo mbisu lazima utowe hela ukiwekewa.....dah
[/COLOR]
![]()
Umeongeza Umri Mkuu!Mkuu,umevunja mbavu zangu mbili kwa kicheko.
Hakuna,hata hao wa ajali ukiwachunguza kuna laana fulani wanaitumikia aidha alifanya katika uhai wake wakati wa kusaka pesa ama ilifanywa na kizazi chake kilichopita.
kuna mmoja Arusha ni babu yeye ni kiwete hatembei siku moja kaniomba hela nikampa mia mbili yaani alinitukana matusi ya ajabu makubwa.Mwisho akamalizia kwa kusema pumbavu wewe unadhani mimi napigwa na jua hapa kwa ajili ya mia mbili kisha akairusha barabarani
Usije ukawahurumia watu kama hao, wanatumikia adhabu ya muumba.
Haya bana.Sio imani ni ukweli.
Nitakutukana pum.bavu wewe, waliozaliwa na ulemavu nao wanatumikia adhabu ya nani.
Nyama wee
hapa mtaani kuna mlemavu ana mguu m1 anatumia magongo, basi aliniomba pesa siku ya kwanza nikawa sina akapita siku nyingine akaniomba nikamwambia sina, mungu wangu, aliporomosha matusi balaa, alianza kwa kusema 'hivi ww unanionaje? Leo ni mara ya pili nakuomba msaada unasema huna?...' siku 1 nikamweleza jamaa yangu akaniambia yule alikuwa jambazi akapigwa akavunjwa mguu, eti watu kama hao mungu anawapunguza kasi ya kuwafanyia watu maovu kwa kuwapa kilema. Nikaamini kwa jinsi yule kilema alivyo na matusi, je angekuwa mzima si shida?
mkuu,umevunja mbavu zangu mbili kwa kicheko.