Huyu mke wangu tatizo

Mvulana na msichana mmeoana au mnaishi kigetogeto??
 
Usitoe kebehi,usidharau ukomo wa uwezo wa fikra za mtu.huwez jua kwa upande mwengine jamaa anakuzid kimaamuz na humfikiii hata robo..ila kwakuwa ndoa yao changa huenda ANAONA ISIWE TABU..
Wewe unaona anachofanya ni sahihi?

Kama ingekua ni sahihi sidhani Kama angeanzisha thread.
 
Mimi natamani kujua background ya maisha ya mkeo. Nahisi kuna jambo hujalisema au umefichwa ambalo limemfanya huyo mkeo kushindwa kuweka mpaka baina yake na rafiki zake.
Kifupi wanaona mwenzao amefanikiwa sana hapo alipo(hata kama binafsi unajiona bado sana) kiasi cha kumuona mkeo ni kama mzazi wao na suluhisho la walikopita.

Kama sivyo basi jiandae kwa ukurasa ambao hukuutarajia
 
Basi apo mkuu mkeo ndo mlipaji wa bill zote za nyumban...

Ila nawaza hii ktu uliyotusimulia inawezekana kweli....yaani mkeo aondke akuache na mwanamke ndani tena asubuhi...
Hivi unawajua wasukuma [emoji23][emoji23][emoji23] kuna dada kaolewa nao mmewe akienda naye kwao anajiachia kama yupo kwa Baba yake mdomo mpaka mama mkwe anamshangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mke wangu Msukuma mimi na mke wangu na lala kitandani yeye katandika kagodoro chini
Shemeji hebu acha kutusingizia bana, mbona sisi wasukuma hatuna tabia za kishenzi kama hizo, fuata ushauri wa mdau pale juu [emoji121]......gegeda rafiki yake, problem solved
 
Wewe ni mjinga tu.
 
Ungekuwa ndugu yangu ningekuja hapo hapo kwako naanza na wewe nakupa vindoge vyote kisha mkeo akileta nyodo anakula kofi moja, namfuata huyo shemeji yako kama alizaliwa na binadamu au mbuzi , namfungasha siku hiyo hiyo, hana adabu kabisa huyo!
 
umeolewa wewe....pumbafu wewe........hata usiku mmoja kwangu halali......akilala siku hiyo namkaza wife kibingwa mnoooooo....then namwambia kezo zamu ya rafikiyo.......
 
Mkuu kwema? ujue busara na hekima ni jambo jema sana katika maisha haya ya kila siku. Usipokuwa na busara pamoja na hekima hakika utaonekana mtu wa ajabu sana kama unataka kuchepuka na shemeji yako nakuomba unipatie namba ya mke wako ili wakati unachepuka na shemeji yako nami huku kwangu niwe namshughulikia mke wako.
 
umeolewa wewe....pumbafu wewe........hata usiku mmoja kwangu halali......akilala siku hiyo namkaza wife kibingwa mnoooooo....then namwambia kezo zamu ya rafikiyo.......
Nimeoa boss
 
Aisee wagonge hao rafiki zake,mkeo anskuletea kihanja ni upuuzi wako umeshindwa kuelewa,anza kuwa unamtomba mkeo,ma huyo rafiki yake anaona,akipandwa nyege unampelea mtalimbo
 
Unakwama wapi mkuu?

Opportunity ya threesome kama hiyo unaizembeaje?

Dah!
 
Sasa hata RUKHSA ya kujilia hao mashemeji zako mpaka uje kuomba humu? EBOO! Chakarika wewe acha kujibwetesha!
 
Mke wangu Msukuma mimi na mke wangu na lala kitandani yeye katandika kagodoro chini

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkeo msukuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…