Hahahaaaa mmmhhh hapa tutashikwa wengi humu ndani na mie ndo ushanikamata ivoo, niruhusu tu niseme ya moyoni baada ya kuiona hii picha looh!! umenikumbusha mambo ya soul mate.........
Humu jf kuna mkaka yuko kama huyu exactly kasoro hivo vizibao sijabahatika kukutana nae akiwa kavaa kizibao, mie ilikuwa body tite na shati. Sikubahatika kuona six pack ka hiyo sijui ila tumbo flat hana kitambi. He is cute same colour na urefu anao, ila huyu wa kwenye picha kama macho yangu hayajanidanganya naona ana ear-ring mie soul mate wangu havai hayo makitun wanaita hereni hapana yeye niwa kiume full no blingbling.
Hivi ninavoandika akisoma atajua kuwa namuongelea yeye na huwa hapendi makuu so anaweza akapita tuu asicomment chochote wala kulike. Kama mnakumbuka yule soul mate wangu nilileta hapa jamvini it was around April 12th or 13th 2013. Yaani jinsi mleta mada alivodata hapa ndo na mie nilidata hivohivo siku nimetoka nae. Hivi unajua unaongozana na mkaka alivo mhandsome hadi unajihisi wewe ndo unasura ngumu zaidi yake, the way anatembea utasema hakanyagi ardhi acha tuu jamani Mungu anajua kuumba ingekuwa hakuna kufa daaah!!!.........
Mie sijui nikushaurije..., ila usikilize moyo wako, labda issue ya magonjwa ndo ntakushauri usiingie kwenye mahusiano nae as ushasema tabia yake si nzuri kwa waschana ila kama ndo soul mate wako jipe raha mwenyewe mamaa kula bata hadi kukuasikie wivu looh. Kila la kheri bi dada.
Ila mie nna tabia moja hivi, mkaka kama huyuhuwa napenda yeye ndo anizimikie halafu mie nijifanye kama simuoni ila baadae natia timu mazima looh. Ukibahatika kupendwa na soul mate kama huyu utake nini tena duniani, hata kwa mguu ntatembea nae sihitaji hata hela ya mwingine looh