Huyu mkaka jamani lol

Huyu mkaka jamani lol

Hivi mkoani huwa ni wapi hasa!???????

Hii ndo taabu yetu waTz. Ukikaa Tandale kwa Tumbo ukala chips dume na miguu ya kuku huku usiku ukikesha kupunguza maji ya vinyesi yaliyoletwa na mafuriko unaona unaishi peponi. Dar nao ni mkoa tu.
 
Nyani Ngabu
Definition of touch screen noun from the Oxford Advanced Learner's Dictionary

touch screen NOUN
;
(computing)

a computer screen which allows you to give instructions to the computer by touching areas on it
 
Hapana si BAK, mie nilikuwa namchokoza tu partner Karucee PIC
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa mmmhhh hapa tutashikwa wengi humu ndani na mie ndo ushanikamata ivoo, niruhusu tu niseme ya moyoni baada ya kuiona hii picha looh!! umenikumbusha mambo ya soul mate.........
Humu jf kuna mkaka yuko kama huyu exactly kasoro hivo vizibao sijabahatika kukutana nae akiwa kavaa kizibao, mie ilikuwa body tite na shati. Sikubahatika kuona six pack ka hiyo sijui ila tumbo flat hana kitambi. He is cute same colour na urefu anao, ila huyu wa kwenye picha kama macho yangu hayajanidanganya naona ana ear-ring mie soul mate wangu havai hayo makitun wanaita hereni hapana yeye niwa kiume full no blingbling.
Hivi ninavoandika akisoma atajua kuwa namuongelea yeye na huwa hapendi makuu so anaweza akapita tuu asicomment chochote wala kulike. Kama mnakumbuka yule soul mate wangu nilileta hapa jamvini it was around April 12th or 13th 2013. Yaani jinsi mleta mada alivodata hapa ndo na mie nilidata hivohivo siku nimetoka nae. Hivi unajua unaongozana na mkaka alivo mhandsome hadi unajihisi wewe ndo unasura ngumu zaidi yake, the way anatembea utasema hakanyagi ardhi acha tuu jamani Mungu anajua kuumba ingekuwa hakuna kufa daaah!!!.........
Mie sijui nikushaurije..., ila usikilize moyo wako, labda issue ya magonjwa ndo ntakushauri usiingie kwenye mahusiano nae as ushasema tabia yake si nzuri kwa waschana ila kama ndo soul mate wako jipe raha mwenyewe mamaa kula bata hadi kukuasikie wivu looh. Kila la kheri bi dada.
Ila mie nna tabia moja hivi, mkaka kama huyuhuwa napenda yeye ndo anizimikie halafu mie nijifanye kama simuoni ila baadae natia timu mazima looh. Ukibahatika kupendwa na soul mate kama huyu utake nini tena duniani, hata kwa mguu ntatembea nae sihitaji hata hela ya mwingine looh

image.aspx


He looks like this guy! Tena anapenda kuvaa vizibao wee utamtaka, huwa natamani nimuwao (nimuhug) kila wakati nikimuona.
 
Haha. Haswaa. Kumamae.

shosti umekamatika kwa m-cute heheheee subiria tuu list itaongezeka watakuja wengi tuu looh chezeiya chocolate colour.
Basi hapa wakaka vibonge au wenye vitambi wanachukia kimoyomoyo wanasema sasa huyu ndo mtu gani kimbaumbau... heheheheheee maneno ya mkosaji hayo hahahahaaaa poleni wakaka vibonge leo mambo iko kwenye siksi paki watu wanakula ugali dona na samaki sato, jioni anaingia gym au anakimbia barabarani (usiombe kukutanana na m-cute asubuhi akiwa anafanya jogging kabla ya kwenda kazini, daaah siri yangu sisemi tena mtakonekti dots bureeee) sio mkaka unakula chips yai na kuku kila siku tambi hilooo full kiyoyozi kwenye gari gym huendi wala hukimbii barabarani matokeo yake suruali zinafyanta na shuhuli inakushinda. Wakaka vibonge mnisamehe buree jamani nimesema yaliyo moyoni looh
 
Back
Top Bottom