Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

Huyo jamaa m'baguzi Sana. Hiyo familia ni hatari. Harry peke yake amezaliwa na roho ya utu.
Kabisa hawa jamaa wanaishi hovyo kabisa hawaelewani angalia jinsi princess Diana alivyofanyiwa na hii familia, halafu sasa prince Harry inebidi akimbilie Marekani. Prince Philip mme wa Elizabeth II (baba wa mfalme Charles III) alikuwa katili na mwenye dharau na ubaguzi mkubwa wa rangi. Hata malkia Elizabeth II aliishi naye kwa uvumilivu mkubwa!
 
Awali ya yote Huyu Mfalme akiwa kama kiongozi mkuu na mwenye mamlaka ya kimaamuzi kwenye Jumuiya ya Commonwealth

Tunamtaka Aridhie mchakato wa Kudai Kariba mpya tupate Katiba mpya.

Au, tuondoke kwenye Jumuiya hii tupate Katiba yetu halafu ndio turudi.

Tumechoshwa kulagahiwa na hawa Wanasiasa.

Ni Kwanini nchi zilizomo katika Jumuiya hii hazijatoa "ruksa" kwa Tanzania kupata Katiba mpya? Ikumbukwe Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya bila nchi zote kwenye jumuiya kuridhia na kupewa baraka ama saini ya Mfalme Charles!

Je, ni mfalme Chalesi ndie anayetukwamisha?
Hizi jumuiya za kikanda ndo zinazotuletea huu uzombi tunaoupitia......

jazia nyama
 
Awali ya yote Huyu Mfalme akiwa kama kiongozi mkuu na mwenye mamlaka ya kimaamuzi kwenye Jumuiya ya Commonwealth

Tunamtaka Aridhie mchakato wa Kudai Kariba mpya tupate Katiba mpya.

Au, tuondoke kwenye Jumuiya hii tupate Katiba yetu halafu ndio turudi.

Tumechoshwa kulagahiwa na hawa Wanasiasa.

Ni Kwanini nchi zilizomo katika Jumuiya hii hazijatoa "ruksa" kwa Tanzania kupata Katiba mpya? Ikumbukwe Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya bila nchi zote kwenye jumuiya kuridhia na kupewa baraka ama saini ya Mfalme Charles!

Je, ni mfalme Chalesi ndie anayetukwamisha?
WTF? Wewe Fala unaongea nini? Bado tu unataka kugeuzwa mtumwa karne ya 21?
Kwa pumba unazoandika unadhani nani atakuheshimu mpaka akusikilize kama unajidharau namna hiyo? Hivi huyo fala mweupe akikukwambia ubusu miguu yake utakataa wewe? Do you have any fuking dignity and self respect?

Yaani unanitaka niseme kila mtu anavyozidi mweusi na ndivyo akili inavyopungua. Fuking embarrassing. Watu wa ajabu kabisa.
 
Huyo jamaa kazingua. Hata kama ni mfalme, lakini sisi kama watanzania na mtu yoyote ambaye siyo muingereza hamtambui. He's just another old man. Alichotakiwa kufanya ni na yeye kuachia mkono wa kulia. Hakuna kurambana miguu.

Alafu hawa wapuuzi hawajui kutofautisha kati ya mkono wa kulia wala kushoto. Sababu salamu na hata kula wanatumia yote miwili kama manyani hivi.
 
aliyesemaga mkono wa Kushoto sio sawa ni mpumbavu kuwahi kutokea duniani
Au wewe ndiyo mpumbavu. Sababu unashindwa kuweka mipaka na kufuata sheria ndogo za maisha.

Let me guess, mwanao wa kiume ana boyfriend. Au naongopa? Sababu kutokana na reasoning yako, aliyesamaga wanaume hawawezi kuoana ni mpumbavu mkubwa kuwahi kutokea duniani?

Au siyo hivyo, Mrs Lastdream.
 
WTF? Wewe Fala unaongea nini? Bado tu unataka kugeuzwa mtumwa karne ya 21?
Kwa hoja ipi hiyo?
Kwa pumba unazoandika unadhani nani atakuheshimu mpaka akusikilize kama unajidharau namna hiyo?
Mpaka hapo unapotoka mapovu ni kwamba umenisoma na kunisikiliza-soma tena ikuingie vizuri
Hivi huyo fala mweupe akikukwambia ubusu miguu yake utakataa wewe?
Hueleweki-Nilichokiandika ni wazi kabisa-Tuvunje Uhusiano wetu na Jumuiya hii. Itoshe, mimi ni Mwafrika kwanza na huwa siku zote nawapinga hao mashoga zako waliokutuma-I was waiting for your ass.
Do you have any fuking dignity and self respect?
Who is you to ask? Do you? So fucking laughable-Humjui Syllo wewe
Yaani unanitaka niseme kila mtu anavyozidi mweusi na ndivyo akili inavyopungua. Fuking embarrassing. Watu wa ajabu kabisa.
Hayo ndio ulitaka kusema, umezunguka weee kuja kutukana watu weusi-wakati huo huo unajinasibu kuwa wewe ni mtu Mweusi-stop your "digital blackfacing"

Narudia tena, soma nilichoandika na ikuingiie.

Hatahivyo

Huna hoja.
 
Back
Top Bottom