Huyu member AshaDii yupo wapi?

Wengine ni Members watiifu wa lile kundi la Vijana 46 wa February Ma-Rope maarufu kama #TeamLumumbaBukuSabaFc. Kwa hiyo hua wanaibuka tu kipindi cha ile Miaka inayogawanyika kwa 5 kama vile 2000, 2005, 2010, 2015 etc.
 
There are these figures.......Maria Roza, Rose1980, Bacha, Afodenzi, Preta, Mchambuzi, Smile, St. Ivuga, St.Paka mweusi, Katavi, Samora09, Kaizer, King'asti, babu lao, ukwaju, nkoskazi na wengine ma-legend wengi.....yaani they real make JF a place of FREE STRESS ZONE......Bravo to them!
 
Mbali na AshaDii, yupo pia Tized huyu mkubwa nimemiss mnoo......naye ni moja ya vivutio wa jf
 
Naona leo ni full kukumbushana na kuitana majina miongoni mwa malegendary wa humu ndani.
JF ni sehemu ambayo najihisi nipo na familia ya watu ninaowajua ila sijawahi waona.
Pia kuna Husninyo, PakaJimmy, Nyani Ngabu, CHAI CHUNGU, Lara1, @Gajini.... Uuuuuuuuwii nahisi kama niendelee.
Ila nitarudi baadae niendelee kuwaita... Hao ni miongoni mwa watu ambao siwezipita kabsaa bila kusoma threads zao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…