Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
- Thread starter
-
- #41
@Konda wa Bodaboda naomba nikiri kwamba kichwa kimekuwa kikubwa hadi kidondoke kwa kukumbukwa na wadau kama ninyi. I am sincerely humbled.:humble::humble:
Ni kweli kwamba sijashiriki kitambo, ila tu ni tokana na kujiingiza katika suala ambalo kwa namna moja ama nyingine lilichangia mimi kushindwa kushiriki kikamilifu hapa. Ila sasa nashuruku kwamba nimeweza ku adjust na sasa nafanya jitihada za kushirikiana na my fellow members. Si sababu wewe umesema hapa na mimi nasema nimewa Miss na nime Miss kuwa hapa. Nime miss mno
Kunifahamu kwa uhalisia, ilo tuliache kwa siku nyingine. Ila nishukuru kwa mara nyingine kwa kunikumbuka na kuniita hapa.
Pamoja Saana!
Uwepo wako tu hapa jf unatosha, mimi nilihisi labda umesahau password ya kuingilia jf.😀😀
Huyu member ana mchango mkubwa sana kwenye baadhi ya majukwaa hapa JamiiForums.
Kule jukwaa la chini na hapa MMU kuna nyuzi nyingi tu alizoshiriki na si tu kushiriki bali michango yake imekuwa msaada mkubwa sana kwa wasomaji wa masuala ya mahusiano na mapenzi.
Kila nikifungua jukwaa la MMU naona jina lake kwenye restricted thread.
Pia si vibaya kumfahamu kwa uhalisi wake japo nimekuwa nikihisi huenda ni mmoja wa mods au ni ex-moderator, au labda ameamua kubadili ID, japo sijaona member wa sasa anayetoa points za maana kama yeye ikiwa alibadili username.
Cc: Invisible, Paw, Moderator.
Teh Teh nacheka kimoyo moyo kukwepa ban....
Nashukuru Konda wa Bodaboda kwa kuniita... PW siwezi sahau lol
Maria Roza si yupo kila siku jf au kuna anayetumia jina linalofanana na hilo?
nipoooooooooMaria Roza si yupo kila siku jf au kuna anayetumia jina linalofanana na hilo?
Sizinga , Rejao, sumbai, wembeee, Watu8, jtwentytwo, Gobe, BadiliTabia, Ruttashobolwa, Afande Fojuman, annito, Raimundo, worldboss, LEGE & Aragon nawasalimu with Love :grouphug:
adolay , nashukuru kwa kukumbuka hilo. Msiba wa Mtoi, ilikuwa pigo, ni pigo na itaendelea kuwa pigo. Uliniuma mno msiba wake. Lakini Inshaallah, Mungu ni mwema na everything happens for a reason.
Amejaa Tele na Bulogu yake ya Round About.Kuna mwingine anaitwa Muke Ya Muzungu,sijui kapotelea wapi
we si walisema umekufa?Miye sina jambo ndugu yangu nipo labda twapishana majukwaa tu, hahah sikujua humu ndani tunao watu vivutio lol...
sorry kumbe upo mkuu? kuna siku nilitania watu kuonana physical watu wakasema humu hata uka rest watu hwawez jua wakatolea mfano ww, sema umekua kimya sana bossaisee...lini tena hiyo mkuu?
sorry kumbe upo mkuu? kuna siku nilitania watu kuonana physical watu wakasema humu hata uka rest watu hwawez jua wakatolea mfano ww, sema umekua kimya sana boss