Huyu member AshaDii yupo wapi?

aisee mm nilikuwa na namba yake ngoja nitamtafuta coz niliipoteza ngoja nifukue fukue PM nimcheki hewani.maana kwa jinsi ambavyo JF ilivyo unaweza uka rest in peace na watu wasijue.
 


@Konda wa Bodaboda naomba nikiri kwamba kichwa kimekuwa kikubwa hadi kidondoke kwa kukumbukwa na wadau kama ninyi. I am sincerely humbled.:humble::humble:


Ni kweli kwamba sijashiriki kitambo, ila tu ni tokana na kujiingiza katika suala ambalo kwa namna moja ama nyingine lilichangia mimi kushindwa kushiriki kikamilifu hapa. Ila sasa nashuruku kwamba nimeweza ku adjust na sasa nafanya jitihada za kushirikiana na my fellow members. Si sababu wewe umesema hapa na mimi nasema nimewa Miss na nime Miss kuwa hapa. Nime miss mno…


Kunifahamu kwa uhalisia, ilo tuliache kwa siku nyingine. Ila nishukuru kwa mara nyingine kwa kunikumbuka na kuniita hapa.


Pamoja Saana!
 
Nadhani sasas baba watoto itabidi abariki tena rasmi maana kama mtoto kisha kua 🙂

Uje nyumbani Jumapili asbuhi, nitakuandalia chai ya viungo ya maziwa na vitumbuwa. Nitahakikisha siku hiyo kaka yako Kaizer hachomoki ili umkute. 🙂

Uje na Paw (nimem miss hakuna mfano) lol

Konda wa bodaboda, AshaDii yupo. Tumemficha kwa sababu za kifamilia.
I miss her too kwa kweli.

Cc Kaizer
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa kutupa majibu...

Mungu akubariki uzidi kuwa na busara zaidi na zaidi. Tunahitaji mchango wako hapa jamii forum, wewe ni miongoni mwa watu wachache mnoo ambayo mawazo na michango yenu huwa ya kipekee mnooo.....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…