Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Dunduliza kimba
Mbakasinge waituuuNikwo nikwo
Ujue Me Nilijua Viumbe Vipendavyo Sifa Ni Binadamu Tu, Ila Kumbe Hata Wadudu Wapo Pia.Kweli asee huyu mdudu anafanyiaga sif dadeki unaweza umkute anazigo karibu la kilo moja!!
[emoji13] [emoji13] [emoji85] [emoji85]Mbona Mkuu hujamalizia hilo jina? Kipilingitya Mashi!
Huyu ni mdudu maarufu sana, kwa jina kamili huwa silijui ila kwa lugha maarufu ni mbimbirisa mavi!
Ana uwezo wa kutembeza huo mzigo kwa zaidi ya kilomita 3.
Kama kuna anayemjua zaidi atupe historia yake..
View attachment 419482
Hapana mkuu wangu...ndo kikwetu hichoMkuu umetukana nini!!!hyo ya yapi