Huyu mdudu mnamwitaje kikwenu (kilugha)?

Huyu mdudu mnamwitaje kikwenu (kilugha)?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,490
Reaction score
29,263
Huyu ni mdudu maarufu sana, kwa jina kamili huwa silijui ila kwa lugha maarufu ni mbimbirisa mavi!

Ana uwezo wa kutembeza huo mzigo kwa zaidi ya kilomita 3.

Kama kuna anayemjua zaidi atupe historia yake..

1476688872985.jpg
 
Back
Top Bottom