Hii lugha ya hapa hapa bongo mkuiMkuu hiyo lugha ya taiwan au[emoji134] [emoji134]
Nachojua anaweza sukuma mzigo Mara 100 ya uzito wake. Kama una 80kg INA maana ungesukuma zaidi ya 8000kg au hata 8tonHuyu ni mdudu maarufu sana kwa jina kamili hua silijui ila kwa lugha maarufu ni mbimbirisa mavi!!ana uwezo wa kutembeza huo mzigo kwa zaidi ya kilomita 3.kama kuna anaemjua zaidi atupe historia yake!!View attachment 419482
Basi inaonekana mizunguko yako haikufika baadhi ya maeneoDuu mkuu sijawahi kuisikia tangu nafanya mizunguko ya tanzania nzima
Kepilingitya ...aka the dung beattleHuyu ni mdudu maarufu sana kwa jina kamili hua silijui ila kwa lugha maarufu ni mbimbirisa mavi!!ana uwezo wa kutembeza huo mzigo kwa zaidi ya kilomita 3.kama kuna anaemjua zaidi atupe historia yake!!View attachment 419482
Nikwo nikwoEkibumba mazi,kihaya