PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,788 Sep 14, 2010 #2 Mimi ningeuliza.."Huyu mwenye mbuzi vp"? Ni kwamba amefunga miguu ya mbuzi kwa mbele!, ..mambo ya usafiri mkuu!
Mimi ningeuliza.."Huyu mwenye mbuzi vp"? Ni kwamba amefunga miguu ya mbuzi kwa mbele!, ..mambo ya usafiri mkuu!
father-xmas JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 982 Reaction score 1,127 Sep 14, 2010 #3 wako safarini hao mkuu!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,925 Sep 14, 2010 #4 Ahahahaaaaah du huo usafiri ni balaa!
D Dick JF-Expert Member Joined Feb 10, 2010 Posts 477 Reaction score 9 Sep 14, 2010 #5 Shida mgunduzi ... amegundua huyo!
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,741 Reaction score 14,932 Sep 14, 2010 #6 Maisha bora ni pamoja na usafiri unaoaminika na kupatikana kwa wananchi; angalia sasa watu inawabidi kuwabeba mbuzi mgongoni kwa kukosa miundombinu!!
Maisha bora ni pamoja na usafiri unaoaminika na kupatikana kwa wananchi; angalia sasa watu inawabidi kuwabeba mbuzi mgongoni kwa kukosa miundombinu!!
Homo Habilis Senior Member Joined Jul 2, 2009 Posts 188 Reaction score 24 Sep 14, 2010 #7 DUh kali qwel qwel.!
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 86 Sep 14, 2010 #8 'bandiko limerudiwa':confused2:
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,663 Sep 14, 2010 #9 CBZ said: 'bandiko limerudiwa':confused2: Click to expand... thas is the Remix.
B Babuyao JF-Expert Member Joined Jun 6, 2009 Posts 1,740 Reaction score 274 Sep 14, 2010 #10 Jamaa ni mbunifu sana. Safari hiyooooo!
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,902 Reaction score 4,444 Sep 16, 2010 #11 kijana MS katika pilika zake pale kisiwandui