Huyu mbunge mbona hamshukuru mumewe?

MwanaCBE

JF-Expert Member
Sep 23, 2009
1,771
804
Ni mbunge wa viti maalumu Mbeya (CCM) na mkiti wa kamati ya bunge ardhi. Leo akiwasilisha maoni ya kamati yake kama kawa kaanza na kushukuru hadi panya wa nyumani mwake na kisha familia yake: kawashukuru watoto wake lakini hajamshukuru mumewe. Je mbunge huyu mdada ni mjane au alizalishwa kwa uzinzi au hata sasa mbunge huyu uzinzi ni fani yake??

kulikoni mbona unatahamaki? au wewe ndo mume mwenyewe. hahahhaha imekula kwako basi rafiki. hauko machoni wala moyoni... khaa

Ni mbunge wa viti maalumu Mbeya (CCM) na mkiti wa kamati ya bunge ardhi. Leo akiwasilisha maoni ya kamati yake kama kawa kaanza na kushukuru hadi panya wa nyumani mwake na kisha familia yake: kawashukuru watoto wake lakini hajamshukuru mumewe. Je mbunge huyu mdada ni mjane au alizalishwa kwa uzinzi au hata sasa mbunge huyu uzinzi ni fani yake??
Ni maamizi yake.....habanwi na kanuni yoyote ya bunge.............

hahahaha nadhani hakuona umuhimu wa kumshukuru mmewe (mzazi mwenzake) moja kwa moja ndo maana akashukuru familia

Ni mbunge wa viti maalumu Mbeya (CCM) na mkiti wa kamati ya bunge ardhi. Leo akiwasilisha maoni ya kamati yake kama kawa kaanza na kushukuru hadi panya wa nyumani mwake na kisha familia yake: kawashukuru watoto wake lakini hajamshukuru mumewe. Je mbunge huyu mdada ni mjane au alizalishwa kwa uzinzi au hata sasa mbunge huyu uzinzi ni fani yake??

duh... Mi mgeni hapa.
Umesema mbeya sehemu gani vile?!!!!!!

1. Hana
2. Hajaona umuhimu/ulazima
3. Hajataka
4. Makubaliano yao

We tatizo lako nini kwani!!?We umeshawahi kumshukuru wakwako mara ngapi bila hata umati wa watu?!

....Hasira punguza Bibie... Au ndo weye? Ulianza vema kwa hiyo orodha ya majibu.

duh! Nilisahau asanteni kunikumbusha, kesho ntaomba muongozo wa spika aniruhusu nimshukuru, au vp?

Back
Top Bottom