huyu mama namkubali sana

huyu mama namkubali sana

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
kumbe ni profesa.
condi-rice-boots.jpg
Condoleezza-1.jpg
 
Profesa kwa Marekani ni mhadhiri wa chuo kikuu, lisikutishe hilo jina.
 
Huyu si ndiyo yule asiyejuwa alifanyalo pale mjengoni mpaka wabunge wengine wanaingia mjengoni wakinuka harufu ya bangi, wengine wanaingia na machangu wao yeye anachekelea tu.

sio huyu bana. huyu ni mtoto wa mkuu wa mkoa ana advance diploma ya account na yuko strict na sheria kama tu huyo mwenzake hehehe (tone ya kujichekesha)
 
...ila huyu dada kapiga shule sio kama madokta wetu wa kupewa...
Kwa kutumia viwango hivyo hivyo vya Marekani "honorary doctorate" is more valued than research based doctorate degree.
 
Back
Top Bottom