Huyu malaika tumsaidieje

BABU KIZEE

JF-Expert Member
May 18, 2013
452
71
NI Mtoto wa miaka miwili anatapika kila akila tumejalibu kumpeleka kwa daktari wamemchunguza hana tatizo msaada wakuu nifanyeje? Mtoto ili aweze kula au chakula gani kinastahili apewe?
 
Mpe ndiz za magad na mchuz wa maharage ya soya inasaidia

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
NI Mtoto wa miaka miwili anatapika kila akila tumejalibu kumpeleka kwa daktari wamemchunguza hana tatizo msaada wakuu nifanyeje? Mtoto ili aweze kula au chakula gani kinastahili apewe?
Muone Dr Kuboja anapatikana Muhimbili pia yuko TMJ ni sh 17,000 ila hutajutia. Haandiki dawa hovyo hata siku moja na utashangaa. Hospitali za mtaani fasta utaandikiwa dawa na kama sio dripu za fasta na sindano kadhaa. kuwa makini tatizo linaweza kuwa ni ushauri kuliko tiba.
 
NI Mtoto wa miaka miwili anatapika kila akila tumejalibu kumpeleka kwa daktari wamemchunguza hana tatizo msaada wakuu nifanyeje? Mtoto ili aweze kula au chakula gani kinastahili apewe?
Mimi nilijua kichekesho aisee kumbe ni siriazi,kwani huyo daktari aliwaambia mumpe chhakula gani?
 
Mpeleke kwa daktari bingwa wa watoto (Dr Masawe) atakusaidia sana. Yule babu ni bingwa wa ukweli--kuna mtoto wangu alishindikana kwa madaktari wote Tanzania nzima, lakini nilipomfikisha kwa huyu babu, akatibiwa na kupona faster. Ila itakupasa uende ufanye appointment naye kwa kuwa ana-attend wagonjwa 10 tu kwa siku na utapaswa kudamka kuwahi sana ili uwahi namba. Hospitali ya Dr Masawe ipo karibu na makao makuu ya Airtel kwenye makutano ya barabara ya Ali Hasan Mwinyi na ile barabara inayotokea kinondoni kwa Manyanya (nimeshanu jina la barabara). Hospitali inaitwa Furaha Medical Centre. Ukifika maeneo hayo ya Airtel headquaters utaiona. Pole kwa kuuguza, Mungu atamponyesha huyo malaika.
 
Back
Top Bottom