Huyu Lowasa hana moyo wa nyama

Huyu Lowasa hana moyo wa nyama

Puna

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
2,792
Reaction score
4,931
Hakika nimeamini huyu si binadamu wa kawaida eti matusi yote anayotukanwa hajajibu,hivi kweli ana moyo wa ubinadamu?mbona viongozi wa dini ukiwabipu tu wanakupigia huyu jamaa ana moyo gani? Huyu jamaa si wa kawaida.
 
"Full matured" Ndiye raisi wetu! Yaani Lowassa!
 
Huyo ni aina viongozi tunao wahitaji kwani kabla hajatoa jibu hutafakari kwanza
 
Alishasema.... "nimefundishwa kukaa kimya ktk mambo ya kipuuzi"
 
Hakika nimeamini huyu si binadamu wa kawaida eti matusi yote anayotukanwa hajajibu,hivi kweli ana moyo wa ubinadamu?mbona viongozi wa dini ukiwabipu tu wanakupigia huyu jamaa ana moyo gani? Huyu jamaa si wa kawaida.
Aliwapongeza wote wenye afya njema hadi wanamtukana na kudhihaki afya yake.Pia alisema yeye hatafanya kampeni zisizo za kistaarabu kwani anajua kuna maisha baada ya uchaguzi na pia hao watu wanaomtukana leo huenda kesho akalazimika kufanya kazi nao.Nampongeza kwa ukomavu huo na roho ya rehema ambayo kila mtu angekuwa nayo hata amani yetu isingetishiwa kuvurugwa
 
huwa ninamuomba sana mungu anipe moyo kama wa rais lowassa ila adi mda huu ninaona bado kabisa lowassa ni mfano wa kuigwa !
 
Hakika nimeamini huyu si binadamu wa kawaida eti matusi yote anayotukanwa hajajibu,hivi kweli ana moyo wa ubinadamu?mbona viongozi wa dini ukiwabipu tu wanakupigia huyu jamaa ana moyo gani? Huyu jamaa si wa kawaida.
unajua hata ukigombezwa na mke au mme wako halafu ukaa kimya unamchanganya sana kisaikolojia na ukimjibu unampa kichwa.
 
Hakika nimeamini huyu si binadamu wa kawaida eti matusi yote anayotukanwa hajajibu,hivi kweli ana moyo wa ubinadamu?mbona viongozi wa dini ukiwabipu tu wanakupigia huyu jamaa ana moyo gani? Huyu jamaa si wa kawaida.
Ametukanwa mpaka ukomo. Kaitwa marehemu, wamesema akipiga push up atajisaidia kwenye jukwaa, lakini wala hajibu. Anashangaza kwa kweli
 
Aliwapongeza wote wenye afya njema hadi wanamtukana na kudhihaki afya yake.Pia alisema yeye hatafanya kampeni zisizo za kistaarabu kwani anajua kuna maisha baada ya uchaguzi na pia hao watu wanaomtukana leo huenda kesho akalazimika kufanya kazi nao.Nampongeza kwa ukomavu huo na roho ya rehema ambayo kila mtu angekuwa nayo hata amani yetu isingetishiwa kuvurugwa

Maneno yaliyojaa HEKIMA NA BUSARA nyingi. Lowassa ni Rais wangu
 
Watanzania tunampenda sana lowasa make ana busara na hekima na tutampigia kura nyingi ili awe rais wa nchi hii.
 
Vijana wa sasa jifunzeni kwa wazee kama hawa. Ni wachache na umri unasogea.
 
Back
Top Bottom