Aliwapongeza wote wenye afya njema hadi wanamtukana na kudhihaki afya yake.Pia alisema yeye hatafanya kampeni zisizo za kistaarabu kwani anajua kuna maisha baada ya uchaguzi na pia hao watu wanaomtukana leo huenda kesho akalazimika kufanya kazi nao.Nampongeza kwa ukomavu huo na roho ya rehema ambayo kila mtu angekuwa nayo hata amani yetu isingetishiwa kuvurugwa
Huyu ndie Edward Ngoyai Lowassa hajibu mtu kwani matusi na kejeli haviandikwi usoni. Hata wanaomtukana wanachoka wanajaribu kutafuta kila mbinu zote zimebuma. Mungu amtangulie