Huyu kweli ni professor? Aliyemuelewa please atafsiri

huyu mkenya ana matatizo, asitushirikishe kwenye taabu zake. na ajipange maana Trump ana hasira na wakenya
 


After a very tough campaign full of all sort of politicking, character assassination and name calling, with hypocrisy of some Americans being in the uppermost and ending with the unexpected Trump's victory; America will never be the same America we know; economically,ideologically, and politically.Hillary underestimating Trump's opposition has ushered America into a new era and there is no way back Trump is the people's choice.
 
Nimejaribu kupeleka sehemu ya Tamko lake Google Translate.
Ngoja nilete majibu

Baada ya ukitoa sauti kubwa, rumbustious, bousterous na bila masharti exuberant Kampeni, isiyokuwa ya kawaida na milele kuongezeka mfano unafiki Haa imeonekana na ambao Wamarekani prodigious na nyenyekevu ambao serendipitously alifanya Trump rais wao
 

Nilishawahi ona video ya Interview yake aliyofanyiwa na Churchill live anasema amesoma sana Biologia na ndio maana kuna maneno mengi ya Kibiologia kwenye maongezi yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…