Hayati Magufuli Versus Professor J.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,055
10,505
Jumatatu tarehe 6 mwezi huu kwa mara ya kwanza Professor J kafanya Mahojiano kwenye kipindi cha power breakfast Clouds Fm hiyo ni baada ya kupitia changomoto ya kiafya kwa muda mrefu. Aliongea mengi kubwa ni ujio wa Foundation yake ambayo itakuwa inasaidia watu wanaopitia changamoto za kiafya hususani changomoto ya figo ambayo yeye ameipitia na kwa uwezo wa mungu na madaktari ameweza kupata unafuu.

Kifo cha Magufuli na kupona kwa Professor J kunatoa tafsiri gani?

Magufuli alikuwa head of state huku Professor J alikuwa mbunge kutokana na box la kura alishindwa kurejea bungeni.

Magufuli ameumwa kwa muda mfupi akafariki lakini Professor J kakaa ICU kwa muda mrefu na kapona.

Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole.
 
Uliambiwa watu wema hawafi upesi.
 
Back
Top Bottom