mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Hivi hili nalo la kuleta hapa?
Kweli kabisa!!!
Bora mimi sijasema,.....Hivi hili nalo la kuleta hapa?
Kweli kabisa!!!
Mwambie accomodation umempa yeye na sio yeye na mwanamke wake.Na kwanzia leo hana ruhusa ya kuleta mtu nyumbani kwako bila kukutaarifu na kupata ruhusa yako full stop.Akishindwana na masharti akatafute kwake.
Hivi hili nalo la kuleta hapa?
Kweli kabisa!!!
Hivi hili nalo la kuleta hapa?
Kweli kabisa!!!