Huyu kaka hataki tuachane, nifanyaje?

Huyu kaka hataki tuachane, nifanyaje?

bora uachane nae tu bcz atakuwa amekwepa kuoa jike lisilokuwa na akila na kujiheshmu.
 
mjambie..... kahaba wewe.....unaishi ukihisi hisi tuuu.....unafikir utampata asiyechepuka na hiyo tabia yako......eti simzaliii,,,, muombe Mungu na uifute hiyo kauli......
Nimjambie mara ngapi? nimejamba mpaka anakimbia ushuzi
 
Niko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi.

Isitoshe siku ya J2 ya wiki hii anakuja kutoa mahari na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane hataki.

Nifanye nini ili tuachane na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni.

Nilimpa taarifa kuwa naenda kulala na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvi ukaanzia hapo.

Naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana naye ila yeye hataki tuachane, nimfanyie kitu gani kitakachomuumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake.
u simply stupid
 
Kuoa au kuolewa hili jambo linahitaji utulivu mambo ya visasi eti nimechepuka na mwanaume wangu wa utotoni sasa hapo kuna nini

Hebu mtulie mjitafakari upya tena ndo muamue

Kuna mtu aliacha mke siku ya honeymoon kwa ujinga huuhuu wa kutojua unataka nini
 
Niko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi.

Isitoshe siku ya J2 ya wiki hii anakuja kutoa mahari na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane hataki.

Nifanye nini ili tuachane na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni.

Nilimpa taarifa kuwa naenda kulala na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvi ukaanzia hapo.

Naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana naye ila yeye hataki tuachane, nimfanyie kitu gani kitakachomuumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake.
Fanya ambacho moyo wako unapenda
 
Una umri gani???
Kwa taarifa yako huko unapokwenda ndo majanga zaidi. Wanaume wote ni sawa, hakuna aliye na nafuu.
 
Mhhh,always a bad attitude is like a flat tire,you cant go anywhere until you change it.kwanza badilika ww.
 
Niko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi.

Isitoshe siku ya J2 ya wiki hii anakuja kutoa mahari na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane hataki.

Nifanye nini ili tuachane na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni.

Nilimpa taarifa kuwa naenda kulala na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvi ukaanzia hapo.

Naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana naye ila yeye hataki tuachane, nimfanyie kitu gani kitakachomuumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake.
Jasiri huachi Asili. Muache kistaarabu huna haja ya kumuumiza kwa kugawa mwili wako dada.
 
Niko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi.

Isitoshe siku ya J2 ya wiki hii anakuja kutoa mahari na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane hataki.

Nifanye nini ili tuachane na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni.

Nilimpa taarifa kuwa naenda kulala na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvi ukaanzia hapo.

Naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana naye ila yeye hataki tuachane, nimfanyie kitu gani kitakachomuumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake.
Kitendo cha kumsaliti mpenzi wako tu inaonesha hukumpenda na ndo maana hujaonesha jitihada za kutaka abadilike kwani hata kwa huyo unayekwenda utakutana nayo sijui utampa tena mwingine ?utawagawia wangapi? binafsi naona we ndo hujielewi na unatabia za umalaya
 
Sio muachane, huyo kaka hataki akuache. Kiuhalisia wewe ushamuacha mpaka umediriki kugawa uroda kwa mwingine.

Sasa sioni hasa tatizo la huyo kaka. Kwanza hujawahi kumkamata akichepuka na tabia yako ya Upekuzi inakuharibia mahusiano.

Sawa, kila la kheri. Kama kaka huyo asingekupenda, asingekuwa tayari kukuvalisha pete. Sasa hisia zako kudhani kuwa unadanganywa labda zitakufikisha kwingine.

Tambua Mkuu kuwa nafasi ya kuolewa kwa sasa haiji mara mbili. Hivyo ni vikwazo vya kawaida tu vinavyostahimilika.
Mkuu akijua ulichomwambia atatubu maradufu coz nichokiona hajielewi na ndo wanawake wanaoniudhi sana yaani hawa wenye tabia za kulipiza visasi tena kwa umalaya dah
 
Back
Top Bottom