kuna rafiki yake husband pia yupo hivyo, yaani siyo gay wala straight, na kuna kipindi tulimlengeshea mdada ikashindikana, then husband akaamua kumwendea na kuzungumza naye kama kamati, jamaa akajidai hawezi kuwatokea wadada. sasa akamwambia poa, mimi nitaongea na mdada na nitamalizana naye kabisaaaaaaaaaaaaaa, nikimleta kwako ujue ashakubali kila kitu uendelee tu.
tukaongea na rafiki yangu, tukamwambia kila kitu na kwa vile yeye ni mjanja akakubali, tulipompeleka mbona tulipata aibu...... aliongea naye usiku kucha mpaka dada wa watu akasinzia na yeye akalala, asubuhi kaamka mapema. tumeamua kumwacha
Kama mnampenda ndugu yenu mwacheni huru aishi kulingana na utashi wake.
kweli aisee, tunapenda kufuatilia watu... hasa makhanisi
Inaonekana na nyie makhanisi kiaina, kama sivyo kwa nini mnawafuatilia sana?
Huyo uliyemuunganisha naye, fanya wakutane usiku, wengine wana aibu zao bhana
si unajua tena walimwengu tunapenda kuingilia mambo siyo yetu? tulidhani tunaokoa jahazi kumbe......................Kwa nini mnawalazimisha watu waishi maisha ambayo si yao?
Huyu kaka angesema hataki kupanda daladala mgemlazimisha?
si unajua tena walimwengu tunapenda kuingilia mambo siyo yetu? tulidhani tunaokoa jahazi kumbe......................
Kwa nini mnawalazimisha watu waishi maisha ambayo si yao?
Huyu kaka angesema hataki kupanda daladala mgemlazimisha?
MadameX,
Kuna watu wapo hivyo,mimi nina kaka yangu wa kuzaliwa na sasa ana 50yrs (kazaliwa 1962)...ana kazi nzuri and everything in life ila hana GF wala hajawahi kuwa naye. Wala usiendelee kumlengesha kwa wanawake sanasana atakuchukia tu na uhusiano wenu utaharibika kabisa....coz anaonekana HAPENDI mahusiano na wanawake.
Izoeeni tu hiyo hali yake kama sisi tulivyoizoea hali ya ndugu yetu na maisha yanasonga.
Sidhani kama ni makosa kujua hili lililoulizwa..
Na ukifuatilia sana hoja itakayokuwa inajengwa ni whether a man is impotent or a gay..
If a person acts uncommon to what is common to the society..no doubt people should be suspicious..
jamaa bado yupo kwene closet..
na mtu yeyote anayemtetea huyu is a suspect to me too..
Habari zenu wakuu, nina mtu wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was very strict family, mambo ya ujana kwao yalikuwa hayana sehemu, kwahiyo mambo ya watoto wa mjini kwake yalikuwa hakuna.
Sasa yeye ni mtu mzima, mamake na nduguze wamepiga dau la kuoa wamechoka maana kihali na mali inamruhusu (anaishi peke yake). Kitu cha kushangaza huyu mtu hajawahi kuwa wala kuonekana na GF kama kawaida ya wanaume. Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake. Nimejaribu kumconnect na sister fulani hivi poa, kwa kuhisi labda atakuwa domo zege nalo halikufaa maana ni muda wako pamoja lakini mazungumzo hayaendi next level.
Kuwa ni mlokole si mlokole...jamani kuna jinsia gani zaidi kwa mwanaume kama mtu si gay or straight kuna 3rd option?
bwahahaaa..at least nimepruv kitu, maana haidhuru mja ambaye hii habari haimhusu akatokwa povu hivi...Kwanza kuwa kwenye closet au gay ni uamuzi wa mtu, kwa hiyo hata kama ni gay (I am not saying kwamba jamaa ni gay, hata kama) ni maisha yake kaamua. Kuanza sana kumfuatilia kwa sababu yeye ni gay kunaonyesha unapenda ma gay na possibly wewe ni gay hata kama subconsciously. Watu wengi sana wanaojifanya kupinga ma gay wamekuja kukutwa wao wenyewe ni ma gay pia.
Na kuona mtu kutetea mtu kuishi maisha anayotaka "ni suspect" kuna reveal ulivyozama katika a narrowminded culture ya kutoelewa kwamba duniani kuna watu tofauti na so long as mtu hajakuingilia kwenye anga zako, mwache awe anavyopenda.
Hizi habari za kutaka kila mtu awe kama wewe ni matokeo ya ushamba na kukulia katika jamii masikini ambazo hazijui dunia ya kijiji cha pili inaendaje.
bwahahaaa..at least nimepruv kitu, maana haidhuru mja ambaye hii habari haimhusu akatokwa povu hivi...
Sidhani kama ni makosa kujua hili lililoulizwa..
Na ukifuatilia sana hoja itakayokuwa inajengwa ni whether a man is impotent or a gay..
If a person acts uncommon to what is common to the society..no doubt people should be suspicious..