Huyu jamaa yupo smart kwenye uvaaji.h

Huyu jamaa yupo smart kwenye uvaaji.h

Watu na rekodi zao hawataki utani.
Na hao BBC mpaka idadi ya nguo zake!!
Cha kushukuru hawajasema kuhusu PICHU zake km ana mechisha pia.
Anasema anamiliki suti za kila rangi inayopatikana duniani na huwa kawaida anavaa rangi moja kuanzia kofia, miwani, shati, tai, suti yenyewe, viatu ,soksi saa, rangi ya simu na hata nguo za ndani.
 
Yupo vizuri,amechagua kufanya jambo ambalo linaifurahisha nafsi yake,

Kila mtu anaishi kwa life style aipendayo ili mradi tu asivunje sheria zilizowekwa na nchi husika,hatupangiani maisha.
Safi kabisa ila subiri michawi yenye chuki wivu roho mbaya utasikia mara mshamba maneno mengi
 
Aisee kuna moja hapo kafanana kabisaa na yale maparachichi ya Mkuranga, alafu kichwani kavalia zile helmet, za wakoroga zege. [emoji23]
 
nampa hongera yake japo quality ya suit na viatu ni grade ya chini sana. yumkini anashuna katika viwanda vya uchochoroni.

30-Second-Suit-Test-4.jpg
 
Nyumba yake lazima itakuwa na tela la kujaza hayo makorokoro yake... Huyo mwenza sidhani kama atatoka hata getini kwa uvazi wa hayo marangirangi utafikiri upinde wa mvua...
Nadhani hata nyumba yake ina rangi za kinyonga.
 
Ziko vizuri na anavaa right size ya mwili wake ikiendana na umri wake.
 
Back
Top Bottom