Huyu jamaa yupo smart kwenye uvaaji.h

Huyu jamaa yupo smart kwenye uvaaji.h

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
BBC imeeleza kwamba James Mwangi ni mvaaji vizuri wa nguo Africa.

Huyu jamaa ana suti 150,shati 200,pair za viatu zaidi ya 200 na kofia 300.

Akianza kumachisha nguo humachisha hadi kalamu,cover za simu,miamvuli n.k
FB_IMG_1533135664395.jpg
FB_IMG_1533135629976.jpg
FB_IMG_1533135620025.jpg
FB_IMG_1533135605222.jpg
FB_IMG_1533135588125.jpg
FB_IMG_1533135539331.jpg
FB_IMG_1533135579282.jpg
FB_IMG_1533135539331.jpg
FB_IMG_1533135511555.jpg
FB_IMG_1533135501699.jpg
FB_IMG_1533135483545.jpg
FB_IMG_1533135475043.jpg
FB_IMG_1533135466458.jpg
FB_IMG_1533135455949.jpg
 
Nyumba yake lazima itakuwa na tela la kujaza hayo makorokoro yake... Huyo mwenza sidhani kama atatoka hata getini kwa uvazi wa hayo marangirangi utafikiri upinde wa mvua...
 
Mwenyewe alisema ndio mlibwende number moja barani afrika au na dunia nzima
 
Yuko vizuri
Nakumbuka miaka ya 70 mpaka 80 ndio zilikuwa za kutokea nilikuwa na match mpaka kiatu ila sio kwa idadi hiyo
Zilikuwa kama tano tu hahahaha
 
Kuna rangi nyingine za nguo zinafaa kwa kupigia picha za matangazo tu kwa kweli.
 
Back
Top Bottom