pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,355
Kule uzunguni ukimwambia mtu yupo smart ina maana kwamba hana umbumbumbu. Yaani ni mtu na akili zake. Haihusiani kabisa na mavazi au muonekano wake. Ila sisi waafrika ni kina nani, tumelifanyia neno hilo remix na sasa tunalitumia tutakavyo! Hehehe! 😀 Very smart!hivi neno smart ni sawa tu pia na neno fashionable eeh?