Huyu jamaa simwelewi kbs mwenzenu

Huyu jamaa simwelewi kbs mwenzenu

missme

Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
6
Reaction score
2
Habari zenu jaman, naombeni mnisaidie ndo mapenzi haya au mimi ndo mshamba?

Nina boyfriend amepanga na mm pia nimepanga, kila mara huwa anakuja kwangu na mara chache huwa analala lakini kila nikimwomba anipeleke ama anielekeze nikapajue anapokaa hataki ni mwaka umepita sasa sipajui kwake, nikimwambia kama hataki nikapajue kwake basi tuachane ananiambia kuwa nimepata mwanaume mwingine ndo maana namwambia tuachane na wala sijali hisia zake. Ananiambia nisijali atanialika kwake siku moja.

Jamani kuna mapenzi kweli hapa?
 
Mwongo huyo hakufai anamwamke mwngne hataki awagonganishe,achana nae endelea na maisha yako
 
Huyo inawezkana bado hajawa na kwake, may be anajipanga, au kwake kuna mtu kama wewe tayari, unaweza kumchunguza tartbu na utapata jibu la uhakika.
 
On the other side inaezekana anakaa uswaz so anaona soo.. anakuzuga hadi ahame ndo akupeleke kwake..so usi conclude mojakwamoja kwamba ana mwanamke..some of men have that inferiority complex
 
ameoa uyo. ushafanywa nyumba ndogo.ooh! pole sana nyumba ndogo.
ila amekuepushia vurugu ya fumanizi
 
Habari zenu jaman, naombeni mnisaidie ndo mapenzi haya au mimi ndo mshamba?

Nina boyfriend amepanga na mm pia nimepanga, kila mara huwa anakuja kwangu na mara chache huwa analala lakini kila nikimwomba anipeleke ama anielekeze nikapajue anapokaa hataki ni mwaka umepita sasa sipajui kwake, nikimwambia kama hataki nikapajue kwake basi tuachane ananiambia kuwa nimepata mwanaume mwingine ndo maana namwambia tuachane na wala sijali hisia zake. Ananiambia nisijali atanialika kwake siku moja.

Jamani kuna mapenzi kweli hapa?

Mchunguze utajua.....ila kuna jambo anaficha.Inaweza ikawa hana kwake huyo,au akilinganisha kwake na kwako anaona kama atadharaulika ukipajua au ana mwanamke.Ili ujue kipi kinachomsibu we chunguza
 
missme kama analalaga kwako siku nyingine bas tatzo sio kua ana mwanamke mwingine au ameoa ila ujue kua hana kwake anagongea getto hivo anasubir kupanga ndo akupeleke kwake au kwake ni kubaya aki compare na kwako..
na pia unaweza kutumia simu kuhakikisha kua haiishi na mwanamke mwingine kwake,yani umpigiage simu usiku sana then umlazmishe akuite yale majina matamu kama;mpenzi,e.t.c..
WASIKUPE PRESHA KUA WEWE NI NYUMBA NDOGO MI MWENYEWE NIMEWAHI KUMDANGANYA MTOTO WA GETI FLANI HIVOHIVO..
 
Last edited by a moderator:
Ana mke tayari huyo tena na mtoto juu! We kimada! Be great thinker ebo!
 
missme kama analalaga kwako siku nyingine bas tatzo sio kua ana mwanamke mwingine au ameoa ila ujue kua hana kwake anagongea getto hivo anasubir kupanga ndo akupeleke kwake au kwake ni kubaya aki compare na kwako..
na pia unaweza kutumia simu kuhakikisha kua haiishi na mwanamke mwingine kwake,yani umpigiage simu usiku sana then umlazmishe akuite yale majina matamu kama;mpenzi,e.t.c..
WASIKUPE PRESHA KUA WEWE NI NYUMBA NDOGO MI MWENYEWE NIMEWAHI KUMDANGANYA MTOTO WA GETI FLANI HIVOHIVO..

Huwa muda mwingine nafanya hivyo Somji huwa tunachat na kupigiana simu usiku, na anapokuja kwangu sio mtu wa kuficha ficha simu, huwa anaziacha mezan na muda mwingine simu yake ikiita huwa ananiambia niangalie ni nani
 
Habari zenu jaman, naombeni mnisaidie ndo mapenzi haya au mimi ndo mshamba?

Nina boyfriend amepanga na mm pia nimepanga, kila mara huwa anakuja kwangu na mara chache huwa analala lakini kila nikimwomba anipeleke ama anielekeze nikapajue anapokaa hataki ni mwaka umepita sasa sipajui kwake, nikimwambia kama hataki nikapajue kwake basi tuachane ananiambia kuwa nimepata mwanaume mwingine ndo maana namwambia tuachane na wala sijali hisia zake. Ananiambia nisijali atanialika kwake siku moja.

Jamani kuna mapenzi kweli hapa?

kusoma hujui hata picha huoni? Mwambie kama hutaki nipajue kwako tuachane hata kama unasema nina m/ume mwingine hiyo ni juu yako.
 
Ana kitu anakuficha...huwezi mchunguza na wewe weka mgomo mwambie nina ndugu yupo home siwezi kukupeleka, twende kwako.

Lakini si bure
 
Usimhukumu haraka ukaziumiza hisia zako.
1. Anaweza kuwa anakupenda kwa dhati, lkn hajawa na kwake na naona aibu kukuambia hana kwake maana anahisi utamdharau, hvyo anajipanga kuwa na kwake
2. Ana kwake ila ni pabovu, umemzidi maendeleo, hvyo anajipanga
3. Inawezekana pia akawa mwongo wa mahusiano, labda ana mtu mwingine aliye kwake/ anaepajua kwake.
Ushauri: fanya kumchunguza kimya kimya, fuatilia nyendo zake, utabaini ukweli.
 
Na wewe exkidumu ndo uisome picha. Hapo lazma unaachwa kwenye mataa lol.

Sasa kwani wewe kwenye mansion yangu nilishawahi kukukaribisha? Aisee mimi nakutreat exactly how you treat me! Yaani hata ukiweka password kwenye simu yako ujue yangu naitia loki hadi kwenye chaja! Easiest way kufikisha ujumbe!
nini tena ex kidumu. . .we kwani mbona sijakupelekaga geto na hukulalamika?(halafu ex kidumu PM yangu umeivundika kule sijui ikioza utakula na nani?)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom