Nkyumu
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 332
- 104
Huwa muda mwingine nafanya hivyo Somji huwa tunachat na kupigiana simu usiku, na anapokuja kwangu sio mtu wa kuficha ficha simu, huwa anaziacha mezan na muda mwingine simu yake ikiita huwa ananiambia niangalie ni nani
Kama alivyosema Somji Juma ....tatizo ni hana kwake kama kwake au kama anapo basi sio pazuri mvumilie tu huyo ...au kama vp mpeleleze kwa kumfatilia kiaina siku anaposema haji kwako na anaenda kwake utapojua kwa njia hiyo