Huyu jamaa ni shujaa wa wapi

Huyu jamaa ni shujaa wa wapi

Ndugu yangu, naona hujaelewa, yeye alikataa, kuwanyenyekea makaburu.

Hata wazazi wetu waliotuzaa, pia walipitia maumivu, kwahiyo ukubali Africa ya kusini, ilibidi watu wachache waumie, kwa ajili ya kizazi kijacho.

Sasa mkuu ukijilegeza hivyo, kwa kuogopa Kufa, si wanaweza kukudhulumiwa na mwanamme mwenzio.
Ninajitahidi kukupa picha printed after black rebellion iliyochagizwa na kufungwa kwa Mandela ya kwamba kuna watu walifanya makubwa kwa thamani ya uhai wao, kina mandela mambo waliyoyafanya hayakughatimu hata Ngeu, sasa ilimpasa Mandela awatunuku ODER OF MERIT ambayo inepewa thamani ya uzito fulani wa dhahabu.
Otherwise Solomon Mahlangu and many others died in vain.
 
Back
Top Bottom