Huyu jamaa kiboko😁😁

Huyu jamaa kiboko😁😁

Akirudi tanzania anakamatwa anaenda kupimwa mkojo kisha anasomewa mashtaka
 
Sijaelewa mipaka huwa na eneo wazi la No man's land hapo imekuwaje? Mpaka kati ya nchi na nchi kuna eneo linakuwa wazi ambalo hata mkianza Vita majeshi yanayowaamulia waweza kaa hapo katikati kwenye eneo la No man"s land kuwadhibiti wa huku usije huku .Ina maana hapo hakuna eneo la No man:s land? ina maana huyo kajenga eneo hilo ambalo halitakiwi kujengwa au ni viipi.? Wataalamu wa wizara ya ardhi kitengo cha upimaji na ramani jibuni hili.
Sio lazima, mipaka mingine ni mistari tu mfano Belgium na Holland
Screenshot_20190214-121713.png
 
Sijaelewa mipaka huwa na eneo wazi la No man's land hapo imekuwaje? Mpaka kati ya nchi na nchi kuna eneo linakuwa wazi ambalo hata mkianza Vita majeshi yanayowaamulia waweza kaa hapo katikati kwenye eneo la No man"s land kuwadhibiti wa huku usije huku .Ina maana hapo hakuna eneo la No man:s land? ina maana huyo kajenga eneo hilo ambalo halitakiwi kujengwa au ni viipi.? Wataalamu wa wizara ya ardhi kitengo cha upimaji na ramani jibuni hili.
Hata mm huwa najua ipo hivyo halafu nadhan ni meter 10 sikosei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo la kawaida hiyo kwa nchi zote duniani kuwa na nyumba katika mstari wa mpaka

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hii ni chai tena kavu bila vitafunio.. ā˜¹ļø[emoji34]
 
HAPO SASA!

Hiyo nyumba ipo wilayani Mkinga (Tanga) ambapo inaleta utata wa kidiplomasia. Nusu ya nyumba (chumba kimoja) ipo Kenya (upande aliosimama Naibu Waziri Fedha Dkt. Ashuta) na nusu nyingine (chumba kimoja) ipo Tanzania (aliposimama Naibu Waziri Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Ndumbaro). Mwenye nyumba akitaka kula mirungi anakaa nje ya nyumba upande wa Kenya anatafuna na askari wa bongo hawamfanyi kituView attachment 1022109
Ukaanze kupambana mtu anayeishi humo si unyanyasaji huu
 
Ni jambo la kawaida hili mkuu? Kwa kufananisha na wapi labda?
Mipaka mingi watu huwa wanajenga bila kujua ni mpaka
Nilikuwa napiga routes za France kikazi nikawa nakatisha Belgium yaani huoni utofauti kati yao kabisa maana hata police hamna na taa huwezi kujua ipi ni ya france

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom