Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,573
- 4,850
Kuringe alinunua uwanja hapo makonde toka.kwa mama hangaya. Pesa alilpolipa mama hangaya hata hajui iliishaje ishaje mil 350. Jamaa ana hela za milimani kwa.shengena same.
Nashukuru ndugu umeleta mfano halisi. Mama Hangaya kakimbilia maporini Madale karibu na Wazo Hill.Kuringe alinunua uwanja hapo makonde toka.kwa mama hangaya. Pesa alilpolipa mama hangaya hata hajui iliishaje ishaje mil 350. Jamaa ana hela za milimani kwa.shengena same.
Dar es Salaam yote imejaa mafremUchumi wetu unategemea uchuuzi
Huoni mpaka lugalo pale kuna frame
Ova
RedstoneHuyo kanunua mpaka Makaburi pale Moshi na kujenga kumbi za starehe, achana nae huyo
Dar es Salaam yote imejaa mafrem
'Dar mafrem' shughuli zinazofanyika ni uchuuzi tu
Nchi zenye character ya hivi hazizalishi kitu cha maana
Na ni rahisi sana mifumuko ya bei kujirudia rudia.
Kuringe ni chimbuko la Alex Massawe ni marafiki hao. Kweli historia haidanganyi sikushangaa baada ya kusikia kuringe ndio anawatisha tisha hao investorsWalikuwepo kina Alex Massawe , Papaa Msoffe ambao hata viongozi fulani na polisi waliwaweka mfukoni.
Sasa hata kupigwa picha hawataki
Kuringe na Alex massawe ni shidaHuyu Edward M. Maarufu kama kuringe 3/4 ya ardhi nzuri na viwanja vya barabarani kanunua yeye hapa dsm.
Mikocheni lile ghorofa pale lenye ATM za crdb alinunua bila sheria kufuatwa jerry slaa alikuja kumrudishia mwenye kiwanja eneo lake.
Palemikocheni jued kwenye maduka mengi na baa ndani ya.kishua alipanunua kwa document fake mwenye eneo karudishiwa na jerry.slaa ni mstaafu wa UN world health orgz.
He is real estate mafia. Akipenda eneo huwa ananunua mkishindwana atakuja.kukushinda mahakamani.
Makonde.mbezi.beach ma hall yote.ya.harusi ni.ya.kwake. Kona baa kanunua kwa.figisu za mikopo ya.aliyekuwa akimiliki kudaiwa na benki.
Ana njia.anazotumia kupaka grisi mikono ya wanaohusika na.kesi.zake
Huyu mtu.ambaye angemuweza ni jerry slaa. Ila kwa sasa.hakuna.anayemuweza
Papa Msofe rafiki wa Alex Massawe amerudi tena kwenye hizi ishu za unyanaanyi wa Aridhi? Du!Umefika wakati sasa Waziri Deo.Ndejembi tumuone.hadharani akitatua changamoto.za.ardhi huu ni mwaka wa.karibu na uchaguzi kazi lazima zionekane zikifanyikana.sio.kujificha kwenye air.condition.
Papa msofe.anataka.kuzulumu.watu.wamejenga na kuishi.over.24 yrs salasala
Namfaham vizuri huyo jamaa...ni wa kibosho maeneo fuln hivi chini ya ile shule ya msing pale kwao.. mwaka juzi alivunja ile ghorofa aliyokua amejenga ya nyumbn akajenga nyingine ya vioo na sherehe ya maana, anavunja kanisa lote anajenga lingn chap kwa gharama zake.Kuringe ni Bilionea wa Kibosho mwenye fedha za manyoka!! Ana utajiri ambao hauna tija. Believe me
Kweli mkuu masharti yake kutoka kwa waganga wake ni kutokaa na hela. Ndiyo maana anaweza kuvunja na kujenga mara mojaNamfaham vizuri huyo jamaa...ni wa kibosho maeneo fuln hivi chini ya ile shule ya msing pale kwao.. mwaka juzi alivunja ile ghorofa aliyokua amejenga ya nyumbn akajenga nyingine ya vioo na sherehe ya maana, anavunja kanisa lote anajenga lingn chap kwa gharama zake.
Ngoiye kama unajua hilo mbona huwa unaadika ujinga huku kuhusu wawekezaji wa stand ndogo ya ArushA?Ukisikiliza vizuri ni kwamba maftah alikuwa na mke ambae alifariki ambae ndo alikuwa mama wa wale watoto wakubwa...Maftah amezeeka sana..mke mdogo alimshawishi wakauza plot yenye jina la mkewe marehemu na wakamuuzia kuringe na fedha kuringe aliweka kwenye akaunti ya huyo bi mdogo ambae ni mama wa Kambo wa vijana... Wale vijana wakaja juu na kwenda mahakaman kupinga mama wa Kambo kwanini kauza kiwanja Cha marehemu mama Yao...basi kwa pembeni ndo kuna huyo mwekezaji aliejenga kwa mkataba wa miaka kumi na ambae kiwanja kile alichojenga mwekezaji ndo kina jina la maftah, ndo Mzee maftah akaamua kumpa kuringe mbadala... MAANA wale vijana wataishinda tu kesi...
Na huyu mwekezaji pia atashinda tu...kupanga na kujenga Kisha baada ya miaka kumi uwekezaji unarudi kwa mwenye plot Wala sio hatari..hata NHC Kuna sehemu waliwapatia matajiri wakajenga magorofa kwa mkataba wa miaka 30 halafu nyumba inarudi kwa mwenye plot...aliejenga anakuwa amerudisha gharama zake halafu anaendelea kuwa mpangaji
Huku Mbezi Makonde kamnunua Jackson Swai nyumbani kwake na biashara yake ya ukumbi wa Royal Skyline. Swai kapotelea Mapinga ndiyo kafungua petrol stationPale.sinza.hongera.baa.palikiwa.hapanunuliki kila wakija.wateja.wanachomoa kumbe kuringe alikiwa.anapataka.kanunua halafu kampangisha lake oil kajenga sheli.
Alex Massawe yuko ake Dubai na familia yakeWalikuwepo kina Alex Massawe , Papaa Msoffe ambao hata viongozi fulani na polisi waliwaweka mfukoni.
Sasa hata kupigwa picha hawataki
Muulize kwa nini hatui bongo!Alex Massawe yuko ake Dubai na familia yake
Massawe yuko South na kabdili dini kawa Ustadh Massawe!!Alex Massawe yuko ake Dubai na familia yake