Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,303
- 3,423
MTUME WA UONGO HUYU HAPAKama wewe unaasema Muhammad sio mtume toa andiko katika Quran linalosema Muhammad sio mtume wa Mungu
Vitabu vya hadithi vimeandikwa na watu ndio maana waislam tuna hadithi sahihi na hadithi ambazo sio sahihi
Pia kwa muislam kuamuni kilicho andikwa katika kitabu chochote cha hadithi ni option sio lazima maana hivyo vitabu vimepita katika mikono mingi
ACHA KUZUGA JIBU SWALI
Mnasema paulo utume amepewa na Yesu sasa mbona mafundisho yake yanapingana na Yesu?
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Yesu anakataa kuwa yeye sio Mungu bali yeye ametumwa na Mungu na ukiamini hayo ndio utapata uzima wa milele
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Hapa kwanza Yesu ana ndugu zake inamaana yeye ni bina adamu
Pia anasema Mimi wewe na yeye Yesu mwenyewe Mungu wetu ni mmoja
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
Iweje nyinyi wagalatia msiamini na kufuata mafundisho ya Yesu badala yake mnafuata maneno ya mtume wa uongo Paulo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani Mkweli kati ya khadija na Muhammad? Na je anayetoa utume ni Mke ama MWENYEZI MUNGU? WAPI KHADIJA ALIKUWAKO PANGONI 17/12
Muhammad alisema Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na shetani katika pango na kuniharibu akili yangu na kunizuga lakini mkewe khadija akasema hujachezewa na shetani bali Naapa UMESHAKUWA mtu wa uma huu :
Kitabu cha wakeze Mtume Wakubwa Na Wanawe Ukrasa 13-14