Huyu Issa Bin Mariamu ni nani? Uhusika wake ukoje?

Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,189
2,000
Hatuko na mada ya uhandishi, stay focused
Stupidity is amazing
Unaujuaje ukweli wa kitabu cha hesabu au mwanzo pasi na kuhakiki chanzo cha hizo habari zilizomo katika vitabu hivyo ?

Ndiyo maana dini yenu imejaa uongo na ushirikina kwa kukayakalia kimya mambo ya puuzi pasi na kuhakiko habari. Ujinga hui huukuti katika Uislamu.

Nasubiri majina ya waandishi wa hivyo vitabu,kisha tuangalie hayo yametoka kwa nani ili tujue mbivu na mbichi.

Hatuleo ujinga.

Nipo ...
 
Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,189
2,000
Unatatizo la ufikiri hafifu, copy neno Bulus andika Bulus name meaning ka search Google, acheni unafiki , Kuna mwenzako kagundua hilo kamtukana ibn Kathir
Nacheka sana,swali langu ni kuwa wapi Ibn Kathir amemtaja Paulo ?

Mbona hujauliza Yuhunnah na Shamu'un ?

Yaani kipi kimewajulisha ya kuwa Bulus ni Paulo ? Msikimbie swali la msingi.
 
Chemical Engineer

JF-Expert Member
Dec 29, 2017
232
500
Acha upumbavu basi, wewe ulitaka aandike Paul wakati aliandika Jina kwa kiharabu, stupidity is amazing
Ndo ututhibitishie kuwa alimaanisha huyo Paulo..

If you assert a claim without valid proof, then it is considered void..

Bado hujanitajia mwaka, mwezi na tarehe alozaliwa Yesu !!
 
spensa_e

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
3,414
2,000
Unaujuaje ukweli wa kitabu cha hesabu au mwanzo pasi na kuhakiki chanzo cha hizo habari zilizomo katika vitabu hivyo ?

Ndiyo maana dini yenu imejaa uongo na ushirikina kwa kukayakalia kimya mambo ya puuzi pasi na kuhakiko habari. Ujinga hui huukuti katika Uislamu.

Nasubiri majina ya waandishi wa hivyo vitabu,kisha tuangalie hayo yametoka kwa nani ili tujue mbivu na mbichi.

Hatuleo ujinga.

Nipo ...
Nimeshakwambia sio mada , na wala hakuna kupoteza mda na maswali Yako ya kutoa watu Kwenye mada, nawajua waislamu ,mkibanwa mnakimbilia mada tofauti.

Cha msingi ibn Kathir kavuta gonads
 
spensa_e

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
3,414
2,000
Nacheka sana,swali langu ni kuwa wapi Ibn Kathir amemtaja Paulo ?

Mbona hujauliza Yuhunnah na Shamu'un ?

Yaani kipi kimewajulisha ya kuwa Bulus ni Paulo ? Msikimbie swali la msingi.
Wewe umekuja kudandia mada hujasoma huko nyuma , tumeshaweka wote watatu

Stupidity is amazing
 
spensa_e

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
3,414
2,000
Ndo ututhibitishie kuwa alimaanisha huyo Paulo..

If you assert a claim without valid proof, then it is considered void..

Bado hujanitajia mwaka, mwezi na tarehe alozaliwa Yesu !!
Hakumaanisha Paul , ila aliandika Jina ambalo maana yake ni Paul
 
spensa_e

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
3,414
2,000
Kumbe unakubali kuwa hakumaanishi Paul,,

Sasa kuna haja ya kuendelea na mjadala ?

Kumbuka Bado nakudai mwaka, mwezi na tarehe alozaliwa Yesu !!
Toka mwanzo nilisha kwambia huyo ni Paul wa Allah , sijui akili zenu huwa mnatumiaje
Hakumaanisha Paul ila Jina Bulus maana yake ni Paul.

Nilisha kujibu tarehe unayotumia ni kwa mujibu wa Jesus Christ do your homework and make calculation
 
Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,189
2,000
Abdool Tumia akili na tafuta jina Bulus kwa lugha zingine acha kubweteka.

Stupidity is amazing

Sijawahi ona Abdool anatumia akili
Naendelea kucheka sana. Hujajibu swali langu. Kipi kimekujulisha kwamba Bulus ni Paulo ?

Imaam wetu Ibn Kathir hili ameliweka wazi sana,na akawakosoa pia,shida yenu hata hivyo vitabu hamna na hamvisomi.

Kuna swali niliuliza uniambie hao mitume walitumwa na nani ? Kwa idhini ya nani ? Hamkujibu. Aya ya 13- na kuendelea inaonyesha wazi kwamba hao mitume walitumwa ba Allah. Swali ni je Paulo alitumwa na Yesu au Allah...?

Lakini watu wake hawakuwaamini mitume hao ? Je ni kweli watu wa Antioki hawakuwaamini mitume ? Rejea Historia.

Ukisoma katika tafsiri ya Ibn Kathir kuna mapokezi mengine yanawataja mitume hao kwa majina matatu ambayo ni Sadiq,Saduq na Shalum.

Kwahiyo usiniletee habari za Google,unatakiwa urejee katika vitabu husika.
 
Abdool wewe ni mtupu kabisa.

Kasome vizuri hao mitume walitumwa na nani ndio tutaendelea na debet , kama issue hio hujui siwezi debate na kilaza
 
Chemical Engineer

JF-Expert Member
Dec 29, 2017
232
500
Toka mwanzo nilisha kwambia huyo ni Paul wa Allah , sijui akili zenu huwa mnatumiaje
Hakumaanisha Paul ila Jina Bulus maana yake ni Paul.
Paul wa Allah kwa uthibitisho gani ?
Wapi umeona Qur'an au hadith inamzungumzia mtu anayeitwa Paul ?
Nilisha kujibu tarehe unayotumia ni kwa mujibu wa Jesus Christ do your homework and make calculation
Unanipa mashaka sana na ufahamu wako !!

Kwanini hamjui mwaka, mwezi na tarehe alozaliwa Yesu ( mnayemuita Mungu wenu) ?

Hii ni dhahiri kuwa Ukristo ni dini ya uongo na ya kutungwa !!
 
spensa_e

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
3,414
2,000
Ndo kitu ambacho anashindwa kukielewa huyo..

Uthibitisho lazima atuambie kutoka katika vitabu vya İbn kathir, na sio Google..

Mpaka sasa ameshindwa kutuletea huo uthibitisho..
Abdools mnapeana moyo, ibn Kathir kawavuta gonads mpaka mnachanganyikiwa Lala ukiwaza kesho utatetea jina Bulus lisiwe Paul, Ita mpaka kiongozi wako wa dini kesho nitakuwa online
 
Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,189
2,000
Abdool wewe ni mtupu kabisa.

Kasome vizuri hao mitume walitumwa na nani ndio tutaendelea na debet , kama issue hio hujui siwezi debate na kilaza
Naona umeanza kuelewa sasa,nataka nikuonyeshe Imaam wetu Ibn Kathir ameweka yote hayo wazi,sababu yeye alikuwa ananukuu toka kwa walio mtangulia.

Hapa nashughulika na nyinyi na upande wetu sisi,kwenu nyinyi mnaamini ya kuwa hao mitume walitumwa na Yesu,lakini katika Qur'aan mitume hao wametumwa na Allah.

Lakini swali ni je hao mitume walio tajwa katika aya walikuwa kabla ya Musa au baada yaani kipindi cha Yesu ? Haya ninayo yahoji hapa Imaam Ibn Kathir ameyaweka wazi.

Mwisho nakuja kuweka hitimisho la Ibn Kathir,linalo onyesha ya kuwa si Paulo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom