Huyu harudii tena

ni vizuri kua wangwana kidogo kwenye maisha, mtu anaweza asikufae leo, ila kwasababu ya life dynamics ukamkumbuka na akakufaa wakati muafaka.
Ni vizuri kua wakweli kuliko kupretend maisha ili mtu akukimbie.

ukimtaka au kumkataa mtu mwambie ukweli na sio kumpakazia, ni usawa wa ukweli na uwazi by JeyD.

kuwekeza in friendship or relationship kunahitaji ustaarabu na discipline zaidi kuliko sense of perfections 🐒
 
Umeamua kuja kuanika hapa siyo, nishajua siri yako...!! Ngoja uende ...nakuwekea keupe daadeki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…