Salary advance imeliwa maxSio Mimi.
Kweli Tena sio mimiSalary advance imeliwa max
Kwanza mi sahivi sipo DarSalary advance imeliwa max
Ukute kakopa hadi mshiko fasterKwanza mi sahivi sipo Dar
Si ungempa tu hako kamdinyoMwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
Si umeshaambiwa bei elekezi mtaalam?Unauza?
Si ni rahisi tu kukujua sasa! Huna haja ya kuficha IDMwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
Napenda watu kama wewe, nilishajieleza mwanzoni kabisa kwamba mimi nimepita njia moja na M23 na wananiita madam, sasa kuna watu kama wewe mnachukulia poa wanawake, sina shida ya pesa mimi, ila naona dharau zimezidi, nataka aonyeshe uanaume wake sasaUnauza?
Mbaya zaidi anasumangwa hadharani.Betting na Kuhonga malaya hapa bora Kunywa bia.
Onasasa huyu mwenzetu gharama alizotoa na bado Kibwenye amekosa
Uzi ufungweMbona mwandiko kama wa kiume?