Huyu hapa mtuhumiwa wa bomu Arusha

Huyu hapa mtuhumiwa wa bomu Arusha

Uhusika wa chama kilichokuwa na mkutano kwenye hili tukio haukwepeki hata kidogo.wamejilipua wenyewe

Utaifakwanza hiyo kazi uliyo pewa ni ngumu mno, ni sawa a kubeba gunia la misumari kwenye upaa. logic hata ya mtoto mdogo inagoma, yaani haiwezekani CHADEAMA wajilipue, ili iweje? wakati umati uliokuwepo pale ulikuwa ukiwadhihirishia ushindi? Za mwizi arobaini hapa CCM mmebainika! Mbaya zaidi mlisahau kwamba sasa hivi ni mwendo wa digitali, video itawamaliza kabisa!
 
Haya Chadema ndiyo wamelipua, nipeni milioni zangu kumi nisepe au mnataka nisemeje ili nipewe hizo 10m?
 
CCM NI MTUHUMIWA NAMBA MOJA .

Mimi NI MTANZANIA kijana wa umri wa miaka zaidi ya kumi nane,

Ulimaanisha ni mtoto "wa umri wa miaka zaidi ya kumi nane," au ni mzee wa zaidi ya miaka themanini? "kumi nane" ni themanini hizo, ni chuo gani ulichosoma mbona hueleweki? au kilikuwa kina upungufu wa ma-profesa?
 
NIPELEKEENI WARAKA HUU KWA MGOMBEA UDIWANI KATA YA KIMANDOLU KUPITIA CHADEMA –Arusha, Mwigulu alikotoa unabii wa kufa kwa CCM.
Wengi walioona video katika youtube, ambayo Mwigulu anahutubia katika kampeni za udiwani Arusha wamehusianisha matamshi yake na tukio la BOMU Arusha wakati wa mkutano wa CHADEMA. Nilichokiona ni tofauti kabisa na mtazamo wa wengi.
Jambo kubwa alilolitamka ambalo sijui hata kama yeye mwenyewe amefahamu kwamba ametamka ni kutabiri kifo cha CCM.

Kwa vyovyote vile CCM haiwezi kuwa kubwa kuliko wananchi kwa vile wananchi ndiyo ambao waliizaa CCM na ndiyo walioiweka madarakani. Kwa hiyo Mwingulu anaposema Ng'ombe aliyezaa akikataa kumnyonyesha mtoto hufungwa kamba, anawaambia wananchi wa Tanzania kwamba, wao wananchi ndiyo wenye CCM na kwa kuwa wananchi wameiona haifai tena wameamua kuacha kuiunga mkono, ambako ndiko kuendelea kuinyonyesha (kuwa madarakani). Sasa, viongozi wa CCM wanalazimisha kwa maguvu kukamua maziwa kutoka kwa ng'ombe ambaye ndiye wananchi, walioizaa CCM. CCM imeota mapembe kufikia hatua ya Mwigulu kusema hata wananchi wakikataa kuichagua CCM watafungwa miguu na hata kama watakapiga kandama kwa pembe watamfunga ng'ombe kichwa. Maana yake CCM inasema, wananchi wa kimandolu watanyimwa fursa za elimu, kwa kuwa njia pekee ambayo mtu anawezakufunga vichwa vya wananchi ni kwa kuwanyima elimu.

Mwigulu amekwenda mbele zaidi akawafananisha wananchi na kandama kanakokataa kunyonya, kwamba katakufa. Kimsingi, CCM ndiyo ndama hata kama Mwigulu anataka kupindua KWELI. Wananchi walivyoikataa CCM haiwezi kuendelea kuwa hai. Vivyo hivyo, kwasababu CCM ndiyo ndama anayenyonya kwa wananchi (ndiyo maana uchaguzi ukifika anakwenda kuomba kura ili anyonye), na amekuwa na kiburi kufikia hatua ya kutowasikiliza wananchi, sharti CCM ife.

Wananchi wa kata ya Kimandolu wakiichagua CCM watakuwa wamedhihirisha ujinga mkubwa kwa vile Mwigulu amewatukana kwa kuwafananisha na ndama wakati huohuo anakwenda kuomba maziwa kwa ndama, je, inawezekana???

Kupitia hotuba ya Mwigulu, iliyo kwenye you tube (Kata ya Kimandolu) napenda kuwatangazia wananchi wote wa Tanzania kwamba CCM imeota mapembe kufikia hatua ya kuwaita wanachi kwamba wao ni ndama badala ya CCM kufahamu kwamba wananchi ndiyo walioizaa.

Pia hotuba ya Mwigulu, imedhihirisha kwamba CCM haitilii maanani kupeleka maendeleo katika sehemu za nchi ambazo wabunge na madiwani siyo wa CCM. Hivyo basi, wanatumia njia hiyo kama sehemu ya kuwaadhibu wananchi ambao wamechagua viongozi wanaowataka. Kimsingi, wananchi wanaadhibiwa kwa kutoichagua CCM. Sasa, wananchi wote tufahamu kwamba CCM haipokutenda kazi kwa matakwa ya wananchi bali kwa matakwa ya wachanche ambao wako tayari wafunge wananchi miguu (wasisonge mbele kwenye maendeleo) na wawafunge vichwa (yaani wawanyime wananchi elimu), ili wazidi kutawala kupitia unyonge wao wa maendeleo na ujinga kwa kukosa elimu.

Saa, ipo nayo ndiyo hii, asomaye na afahamu kwamba CCM ni JOKA la kijani linalojistawisha kwa kuwameza wananchi na macho yake ni ya njano (rangi ya utajiri) ambayo limeelekeza kwenye tama ya mali.

Wananchi kamata mpini, ambayo ni kura yako katika kila uchaguzi unaofanyika kuanzia sasa, tuliponde kichwa chake joka la kijani na macho ya njano hata mahali pake pasionekane tena.Kiburi chake kimefurika na kikombe cha ghadhabu yake kimetumukizwa kwenye koromeo lake.
 
Nyie wakuu wawili chama na Chris Lukosi.... huwa mnatoa comments ambazo huwa zinatia hasira na kujenga chukii sanaaa. Hongereni ipo siku mtachuma matunda ya mnachokipanda..
Does it occur to you some of the victim might be CCM MEMBER?!!.
you sink too low brothers??!! Sina kawaida ya kuchukia watuu ila siku zinavyoenda nimeanza kujenga chuki na watu wenye chuki na wanaokejeli majanga ya watanzania wenzao.

Chukia; pandwa na hasira huo ndio ukweli wenyewe nyie endeleeni kujilipua hio njia pekee mliobakiza kujinadi kisiasa!
 
Ulimaanisha ni mtoto "wa umri wa miaka zaidi ya kumi nane," au ni mzee wa zaidi ya miaka themanini? "kumi nane" ni themanini hizo, ni chuo gani ulichosoma mbona hueleweki? au kilikuwa kina upungufu wa ma-profesa?

Wameajiri profesor mpya! Prof. Jay
 
Sababu za kufanya hivyo ni pamoja na kushindwa kwa chama hicho kuleta mabadiliko ya kweli kuanzia sekta ya uchumi, elimu ,kilimo ,,afya na nk pili ni baada ya juhudi za dhati kabisa za zanzibar(ASP) kutaka nchi yao huru na tatu na mwisho kabisa ni siasa chafu zinazofanywa na baaaaaaaadhi ya wanachama na viongozi wa chama hiki,, kimeshindwa kuonyesha uchama mama wake kwa vyama changa,ni wakati sasa kivunje na wale wasafi wafuate msingi ya tanu
 
Pindi serikali 3 zikianza, TANU inarudi Tanganyika na CCM itabaki kuwa history
 
Hahahaaa,, mawazo yako yamo yamo kwa mbali mkuu .ila mkuu tatizo sio ccm ila ni baadhi ya watu tunaowakumbatia ndani ya ccm,, mfano mzuri ni watu mafisadi tulionao, tunadhamini sana wenye pesa chafu na kusahau wenye akili safi ndani ya ccm
 
Mkuu mi ningeomba watuondolea chama ambacho kimeonekana kuwa ni cha kigaidi wazi kabisa.
 
Ww sio utaifa kwanza,ni msosi kwanza.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
CCM NI MTUHUMIWA NAMBA MOJA .

Mimi NI MTANZANIA kijana wa umri wa miaka zaidi ya kumi nane, kijana mwenye elimu ya chuo kikuu. Leo asubuhi mida ya saa tano nilikuwa na fuatilia bunge na ndipo ghafla mvivu wa fikra mmoja akatoa kauli ya serikali juu ya bomu la Arusha, mmmmh haihitaji akili ya chuo kikuu kutambua huyu mvivu wa fikra alikuwa anamaanisha nini kama kawaida kapewa mda mwingi na ANA MAKINDA wakujieleza kaanza na kusema kwamba upinzani unahusika katika mlipuko wa Arusha kutokana na kauli zao eti NCHI HAITATAWALIKA na alipo hitimisha akatangaza donge nono kwa mtu yeyote atakaye toa taarifa juu ya tukio la bomu la ARUSHA donge hilo ni fedha taslim za KITANZANIA M 100 tena eti hata wakiwa wengi serikali haita sita kuwazawadia wote sasa nachambua kama ifuatavyo.

1 Lukuvi kama siyeye basi kutokana na maelezo yake niwazi kwamba anamjua nakumfadhili yule ambaye alirusha bomu napolisi kumficha na kuwatetea polisi nkwamba walikuwa wana rusha risasi ili kujilinda na raia waliokuwa wanawashsmbilia risasi poilisi kutokana nakile ambacho kilijiri

2 CCM kwa pamoja wanafahamu vizuri zaidi kuhusiana na mipango hiyo kwani siku mbili kabla NAPE NA NCHEMBA walitoa taarifa kwenye moja ya mikuatano yao kuhusiana na uchaguzi wa madiwani.

Hivyo basi donge nono hawezi kupewa mtanzania awayeyote ule kwani WAHUSIKA NDIO WALIOTANGAZA TENDA HIYO kutokana na mfumo uliopo ndani ya serikali ya CCM hiyo ndio technical plan(mipango ya ushindi) kwa sasa ndani ya SERIKALI YAO HIVYO WALIO FANIKISHA MIPANGO HII NDANI YA CCM NI MASHUJAA TENA WAMEHAKIKISHIWA ULINZI HIVYO KUMFAHAMU MLIPUAJI NIKUKIDHALILISHA CHAMA.

NB WATANZANIA WA LEO SI WATANZANIA WA JANA POLENI WAHANGA WOTE HIYO NDIO CCM KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Hakika hii ni ratiba rasmi ya CCM kuwahujumu wapinzani, sisi wananchi yetu macho na kalamu zetu siku ya kupiga kura. Mabomu yetu na risasi zetu ni kalamu tu!!!
 
Gume gume wewe unajifanya Kijana mdogo!
 
Mbona mnaweweseka sana
Kweli kuweweseka kumeonekana sana nafikili umeona hivyo kwa sababu hakuna mnyalu aliyeuwawa ndiyo maana Lukuvi kasoma kwa mbwembwe, mamako Anne Makinda kafurahi kweli hataki hata kuwapa pole waliofikwa na janga hili bila kujali Chama. Nasikia Iringa na Njombe mnafurahia na kushangilia kwa kudua. Haya nawatakia sherehe njema!

Ila mnyalu kuna tetesi kwamba Nape huwa hata akitaka kumbusu mkewe anakumbuka CHADEMA anaacha na kusema CHADEMA ooh CHADEMA.
 
Unajua mtu akichoka kufikiri atafanya mambo yale yale kwa staili ileile. Unajua sijawaelewa CCM kuendelea kudai kwamba wapinzani ndo wanaohusika na vurugu wakati kuna watu waojiita polisi wanavalishwa nguo tokana na kodi zetu na wasifanye lolote hiyo pekee ina maana gani?

1. uwezo wao na ueledi wao ni chini ya kiwango,
2. CCM wanadhani kwa vitisho vyao na mauaji wanayoyafanya wasifikirie kwaamba bado
tumelala, nawashauri wafuatilie reactions za watu meneo mbalimbali.
Bora umesema wewe
 
CCM NI MTUHUMIWA NAMBA MOJA .

Mimi NI MTANZANIA kijana wa umri wa miaka zaidi ya kumi nane, kijana mwenye elimu ya chuo kikuu. Leo asubuhi mida ya saa tano nilikuwa na fuatilia bunge na ndipo ghafla mvivu wa fikra mmoja akatoa kauli ya serikali juu ya bomu la Arusha, mmmmh haihitaji akili ya chuo kikuu kutambua huyu mvivu wa fikra alikuwa anamaanisha nini kama kawaida kapewa mda mwingi na ANA MAKINDA wakujieleza kaanza na kusema kwamba upinzani unahusika katika mlipuko wa Arusha kutokana na kauli zao eti NCHI HAITATAWALIKA na alipo hitimisha akatangaza donge nono kwa mtu yeyote atakaye toa taarifa juu ya tukio la bomu la ARUSHA donge hilo ni fedha taslim za KITANZANIA M 100 tena eti hata wakiwa wengi serikali haita sita kuwazawadia wote sasa nachambua kama ifuatavyo.

1 Lukuvi kama siyeye basi kutokana na maelezo yake niwazi kwamba anamjua nakumfadhili yule ambaye alirusha bomu napolisi kumficha na kuwatetea polisi nkwamba walikuwa wana rusha risasi ili kujilinda na raia waliokuwa wanawashsmbilia risasi poilisi kutokana nakile ambacho kilijiri

2 CCM kwa pamoja wanafahamu vizuri zaidi kuhusiana na mipango hiyo kwani siku mbili kabla NAPE NA NCHEMBA walitoa taarifa kwenye moja ya mikuatano yao kuhusiana na uchaguzi wa madiwani.

Hivyo basi donge nono hawezi kupewa mtanzania awayeyote ule kwani WAHUSIKA NDIO WALIOTANGAZA TENDA HIYO kutokana na mfumo uliopo ndani ya serikali ya CCM hiyo ndio technical plan(mipango ya ushindi) kwa sasa ndani ya SERIKALI YAO HIVYO WALIO FANIKISHA MIPANGO HII NDANI YA CCM NI MASHUJAA TENA WAMEHAKIKISHIWA ULINZI HIVYO KUMFAHAMU MLIPUAJI NIKUKIDHALILISHA CHAMA.

NB WATANZANIA WA LEO SI WATANZANIA WA JANA POLENI WAHANGA WOTE HIYO NDIO CCM KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Mbona mnapata shida kujadili haya mambo jamani? Mwigulu Nchemba na Nape ndio waliopanga hili... Na ndo maana walisema kuwa msiende mikutano ya CHADEMA maana mtakumbwa na maafaa! tayari walishatabiri vifo ....
 
Back
Top Bottom