Huyu hapa mtuhumiwa wa bomu Arusha

Huyu hapa mtuhumiwa wa bomu Arusha

Kama kweli wewe unaishi marekani sidhani kama akili yako iko sawa.
Mkuu Chris Lukosi
Kipigo walichopata sio kidogo; bomu ujirushie mwenyewe lawama utupie watu wengine; hivi mkuu uweke bangi kwenye pochi ya mkeo akikamatwa utamlaumu jirani?
 
Last edited by a moderator:
Wewe Ngoshayi umechoka kabisa kufikiria au la basi ni mvivu wa kufikiri! Polisi wapo, usalama wa taifa wapo na green guard wapo! Wote hawa wameshindwa kufanya uchunguzi wa kitaalamu na kuwabaini hawa akina Mbowe na Lema kisha wakawaweka ndani na kuwafungulia kesi?

Kwanini polisi inaendelea kuwalea (waharifu) hawa na mnabaki kupiga kelele za bure bila vitendo? Kama polisi wameshindwa basi watangaze hadharani kisha sisi kama waajiri wao tutajua tuchukue hatua gani?

Kutochukuliwa hatua za dhati juu ya matukio yote haya ni uthibitisho tosha kwamba ccm na serikali kwa ujumla inahusika kuyapanga na kuyatekeleza matukio haya kama nia ya kuwatisha wapinga uonevu wa mafisadi!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kama pesa ndo inakufanya utamke haya yanayovuka uradhini wa binadamu basi usijari pepeteo ya bwana ipo ngano safi na makapi siku moja yatatenganishwa ipo siku yatakugeukia utalia na kusaga meno fanyeni kazi vijana njaa hzo zinawafanya mshabikie vitu vinavyoumiza mioyo ya watu

Yan we acha tu ndugu yangu, mi huwa nashangaa sana ; mtu anatoa comment mpaka nabaki mdomo wazi. Lakini tufanyaje na watu wameamua kuwa hivyo. Tunamuachia Mungu.
 
Na wewe nakuweka kwenye list ya kutobolewa, la sivyo naomba weka ushahidi wa hicho unachosema, na kama huwezi kuweka then upo kwenye hilo kundi, usiingilie vitu visivyo kuhusu, na acha mara moja siasa chafu. Kirahis rahisi tu wakamatwe mara moja st,upid
mkuu wanakutafutia ban hao
 
ila wewe unajijuwa kwa ujinga na upuuzi unaotetea wa wananchi kuuliwa, jiulize wewe na huyo nani mpumbavu.....

mi nakemea maovu ndio mana nalaani vitendo vya lwakatare na wafuasi wake ukiwemo ww
 
Nasikitika sana kuona michango mingi humu inachochea machafuko na si kupunguza machafuko. Watz tunakoelekea ni kubaya sana,watu tutakuwa tunachinjana mchana kweupeeee!
 
Uhusika wa chama kilichokuwa na mkutano kwenye hili tukio haukwepeki hata kidogo.wamejilipua wenyewe
 
ukiona mtu anang'ang'ania sana vita ujue anakua driven na personal failures...Kushindwa kwako maisha kutokana na uzembe wako kusiharibu amani ya watu wengine..
 
Mleta uzi anasema ana miaka 18 na tayari ana elimu ya chuo kikuu ( sio anasoma chuo kikuu). Inaonesha ana kipaji kumaliza chuo kikuu ukiwa under 18 l. Ina maana alianza darasa la kwanza akiwa na mwaka mmoja na hakupitia shule ya Awali ikimaanisha alimaliza olevel akiwa na miaka 12.
 
Kuna watu wanadai kuwa CDM wamehusika na bom, ushaur wang ni kwamba kwa kuwa mnaipenda CCM na kwa kuwa CCM ndo wenye dola BASI wawakamate CDM na kuwafikisha mahakaman na wakishndwa bas hawafai kuongoza nchi maana dola na mahakama vyote ni vyao
 
Mkuu Chris Lukosi
Kipigo walichopata sio kidogo; bomu ujirushie mwenyewe lawama utupie watu wengine; hivi mkuu uweke bangi kwenye pochi ya mkeo akikamatwa utamlaumu jirani?

Nyie wakuu wawili chama na Chris Lukosi.... huwa mnatoa comments ambazo huwa zinatia hasira na kujenga chukii sanaaa. Hongereni ipo siku mtachuma matunda ya mnachokipanda..
Does it occur to you some of the victim might be CCM MEMBER?!!.
you sink too low brothers??!! Sina kawaida ya kuchukia watuu ila siku zinavyoenda nimeanza kujenga chuki na watu wenye chuki na wanaokejeli majanga ya watanzania wenzao.
 
Moja katika wananzi kama sio viongozi wa chadema humu ndani Daudi mchambuzi jana aliandika hapa kuwa polisi kurusha risasi na mabomu ilikuwa katika hali ya kujitetea kwani mrushaji wa bomu aliyekuwa upande wa polisi ndani ya nyumba ya ghorofo alipomaliza kurusha bomu alikimbia huku watu wakikemea askari wameuawameua jambo lilopelekea askari kujihami na shuhuda akiwa ni daudi aliyekuwa upande huohuo wa polisi. Kwa maana hiyo polisi hawakuwa wanamlinda mlipuaji kama mleta uzi unavyodai ila huo ni upotoshaji.

Pili mlopokaji wenu Lema anadai anamjua mlipuaji wa bomu na video wanayo sasa huu kama si mchezo mlioucheza chadema ni nini wakati tukio limetokea jana na Lema akiwa jukwaani swali amemuonaje mrushaji wa bomu.

Ni wazi chadema mnatimiza kauli yenu kuwa nchi haitotawalika na kama haya yanatokea kwenye uchaguzi wa madiwani itakuwaje kwenye uchaguzi wa wabunge na raisi?.
 
Mkuu Chris Lukosi
Kipigo walichopata sio kidogo; bomu ujirushie mwenyewe lawama utupie watu wengine; hivi mkuu uweke bangi kwenye pochi ya mkeo akikamatwa utamlaumu jirani?

Tatizo lenu mnaendekeza ushabiki mpaka mnanuka ushabiki! Mtu akiona hata comment zenu anajua tu ni za ushabiki!
 
Nilifahamu tokea mwaka 1995 wakati wa mauaji ya Zanzibar kwamba siku moja mwamko wa upinzani utakaposhika hatamu Tanzania Bara hali haitakuwa tofauti na Zanzibar. Ni CCM ile ile iwe Zanzibar au Tanzania Bara. Ni watawala wale wale popote walipo kazi yao ni kuhakikisha wanaulinda mfumo uliowaweka madarakani kwa nguvu zote hata kama ni kwa kumwaga damu za wale waliowaweka madarakani sembuse za wapinzani? Wakati wa CCM kuondolewa madarakani umefika Watanzania tuamke kukataa dhuluma na manyanyaso haya.
 
Damu liyomwagwa na CCM hapa Soweto itamea na kuudhofisha utawala wa kishetani unaofanywa na ccm chini ya Jakaya Mrisho Kikwete.

'Damu hii itawaumbua CCM na watetezi wake wote kwa laana ya kuua'
 
Uhusika wa chama kilichokuwa na mkutano kwenye hili tukio haukwepeki hata kidogo.wamejilipua wenyewe

Tatizo ulilonalo wewe na wapumbavu wenzio ni kuharishia mdomoni.Yaani hamna uchungu na damu iliomwagika ya watanganyika wenzenu,bali mnashabikia uhalo wa lichama ambalo liko kwwnye jeneza,Hata Mungu amekwisha lichukia li-chama lenu, mlitakiwa kukaa kimya,na sio kubweka kama pasipo na sababu ya kubweka,MUUNGU AMEKICHUKIA CHAMA CHENU CHA MAUAJI(CCM).
 
itabidi urudi shule kusomea huo uanalyst hii kesi ni ndogo sana huitaji kujiumiza kichwa!
kwasababu mlipanga mkjua mpoju ya sheria ila yanamwisho hayo.ole wenu!!
 
Back
Top Bottom